Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

Ngona nijifanye shehe yahaya …….. mzee baba anajutia baada ya mzee kumwambia kwa sasa sitaweza kukusaidia maana nimeshatoka kwenye mfumo ila ungenitafuta wakati ule ungekula mema ya nchi ni iivo tu kwaiyo wee endelea kupambana kama vipi uje ulishe mifugo yangu
 
Ngona ninifanye shehe yahaya …….. mzee baba anajutia baada ya mzee kumwambia kwa sasa sitaweza kukusaidia maana nimeshatoka kwenye mfumo ila ungenitafuta wakati ule ungekula mema ya nchi ni iivo tu kwaiyo wee endelea kupambana kama vipi uje ulishe mifugo yangu
Sawa shekhe Yahaya 😅😅😅
 
Si kweli mjomba, Theluthi kubwa kuliko Robo.

1/3 > 1/4... Ama 0.667 > 0.25 ukiiweka kwenye desimali.

Kama ulimaanisha 1/6 ama 1/8 moja wapo katika hizi inaitwa Sumuni. Sikumbuki vizuri ni ipi kati ya hizo mbili ndio huitwa Sumuni ila hizo ndio ndogo kuliko robo i.e 1/4.

Kwa kifupi tu thaman iliyo ndogo kuliko robo ni kuanzia yenye kigawo kikubwa kuliko 4 ambayo ni 5 na kuendelea tukiwa na maana ya 1/5, 1/6, 1/7 en so sooo ila sio zenye thaman ndogo kuliko 4 kama 3 na 2 napo tukiwa na maana ya 1/3 (theluthi), 1/2 (nusu).
Wewe utapata tabu bure asilimia 80 ya wabongo tunajua theluthi ni ndogo kwa robo kumbe kinyume lkn Mimi kwenye huo sitafahamu nilishatoka
 
Si kweli mjomba, Theluthi kubwa kuliko Robo.

1/3 > 1/4... Ama 0.667 > 0.25 ukiiweka kwenye desimali.

Kama ulimaanisha 1/6 ama 1/8 moja wapo katika hizi inaitwa Sumuni. Sikumbuki vizuri ni ipi kati ya hizo mbili ndio huitwa Sumuni ila hizo ndio ndogo kuliko robo i.e 1/4.

Kwa kifupi tu thaman iliyo ndogo kuliko robo ni kuanzia yenye kigawo kikubwa kuliko 4 ambayo ni 5 na kuendelea tukiwa na maana ya 1/5, 1/6, 1/7 en so sooo ila sio zenye thaman ndogo kuliko 4 kama 3 na 2 napo tukiwa na maana ya 1/3 (theluthi), 1/2 (nusu).
Upo sahihi mkuu,
 
Back
Top Bottom