Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

Pale baba anapomuonea mwanae wivu kwa kukosa attention
Hata mm haya madeko yangu nlikuwa namletea babu mzaa mama ambae pia ni best friend wangu.....weeee bibi si akawa ananuna kabisa serious
Alama naweka hapa
 
kumbe kudeka ni jadi yako [emoji4][emoji4]
 
Pale baba anapomuonea mwanae wivu kwa kukosa attention
Hata mm haya madeko yangu nlikuwa namletea babu mzaa mama ambae pia ni best friend wangu.....weeee bibi si akawa ananuna kabisa serious
Alama naweka hapa
Punguza kudeka πŸ˜…πŸ˜…
 
Jamani pamepoa sana, anyway let's wait... PakucheπŸ›ŒπŸ›Œ ila arosto inatesa acheni.
Arosto inatoka wapi na mzigo unawekwa kila siku? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Ngoja na mimi niwe mtabiri tambitambi....huyo mzee wa system ndio baba mzazi nini. Anyway kesho tutajua ukweli
Dah kweli umekuwa tambitambi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…