zwenge ndaba
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,037
- 3,598
Nikajua mzee dingi tapeliMie nikajua ni Kisauti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikajua mzee dingi tapeliMie nikajua ni Kisauti
kumbe kudeka ni jadi yako [emoji4][emoji4]Pale baba anapomuonea mwanae wivu kwa kukosa attention
Hata mm haya madeko yangu nlikuwa namletea babu mzaa mama ambae pia ni best friend wangu.....weeee bibi si akawa ananuna kabisa serious
Alama naweka hapa
Mkuu si ushamalizana na unsupportive environment? Haya kanyaga twende [emoji23][emoji23]Leo sitoweza kuweka portion mbili. Mazingira niliyopo hayako supportive. Kesho nitaendelea
Haina noumar masta, leo mazingira yasianze mapemaMpaka jioni kaka [emoji28][emoji28]
Mwanamke asili yake kudeka deka..ss anakuwaje kauzu kama mwanaume?kumbe kudeka ni jadi yako [emoji4][emoji4]
Siwez kuacha ndo asili yanguu hyoPunguza kudeka 😅😅