Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

duh.......
mi nilijua huyu mzee unaejutia kukutana nae ni yule tapeli, kumbe ni huyu ulieunganishwa na dingi?
 
Ananuna Me kicheko kama chotee
Kwanza nikifika tu babu yangu huwa namhug wakat yeye nampa mkono...
Nikikwama babu huwa hatoi Mia yake kwa mtu ila mimi hata milion napewa..
Bibi anaumiaa hadi namuona akinibagua...
Bibi hapewi attention sababu yako, lazima akununie πŸ˜…πŸ˜…
 
We unajua kuniacha dada yako sehemu yenye kunipa shauku kujua Nini kilijiri,Sasa fanyafanya ushushe mzigo nipoze Moyo.
Basi usijali, nitakupoza Moyo baadae πŸ˜…πŸ˜…
 
Shukrani sana chief πŸ™πŸ™πŸ™
 
Uko vizuri katika kupangilia mambo Analyse hakika wewe ni analyst. Sabato ikiisha lete mzigo mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…