Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

Tatizo za story za humu ni za mchongo ukishawishika kuzfwatiria unakuwa mtumwa na mwenye stori anakuwa jeuri .hajui kwamba humu kuna nani nani na kama wangerijua naamini wangerikuwa ma director bora kwenye sinema zetu hapa tanzania na afrika mashariki kwa ujmla. Kwa sababu humu ndio connection zinapoanza
 
Story za humu wapi mkuu?. Lini ushawahi kukutana na jeuri yangu? Na assume kwavile umeandika hapa, basi unanilenga Mimi.

Take it easy pal 😅😅
 
Tatizo za story za humu ni za mchongo ukishawishika kuzfwatiria unakuwa mtumwa na mwenye stori anakuwa jeuri .hajui kwamba humu kuna nani nani na kama wangerijua naamini wangerikuwa ma director bora kwenye sinema zetu hapa tanzania na afrika mashariki kwa ujmla. Kwa sababu humu ndio connection zinapoanza
Shida imeanzia hapo kwenye "wangeRIjua.......,wangeRikua"
Usituharibie uzi.
 
Ni kweli kabisa, muda anaoutumia kureplay angeweza kushusha episode moja
Ambacho haujui mkuu, ukiandika, unahitaji urefresh kidogo akili irudi sawa. Sio rahisi kuandika continuously alaf vitu vikaeleweka mpaka wewe msomaji ukaridhika.

Makubaliano ni kwamba nitakuwa napost kila siku baada ya iftar, mpaka story iishe. Nisipo post, ruksa kunilaumu. Huu Muda mwingine nje ya hapo, niachie na Mimi nirefresh JF😅😅😅😅
 
Ambacho haujui mkuu, ukiandika, unahitaji urefresh kidogo akili irudi sawa. Sio rahisi kuandika continuously alaf vitu vikaeleweka mpaka wewe msomaji ukaridhika.

Makubaliano ni kwamba nitakuwa napost kila siku baada ya iftar, mpaka story iishe. Nisipo post, ruksa kunilaumu. Huu Muda mwingine nje ya hapo, niachie na Mimi nirefresh JF[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Hatutaki tunataka utushushie kutujibu jibu hatutaki au nimuite chizi maarifa
Yaan mi sijui kama unarefresh ila nikikuta mikoment yako unajibu watu natamani kupasuka
Kalpana
 
Back
Top Bottom