Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
Kweli lkn mzee dingi tapeli ndio alosababisha mpk kisauti akafanya yakeNikajua mzee dingi tapeli
Mkuu wewe mkali sana kwa riwaya.Leo sitoweza kuweka portion mbili. Mazingira niliyopo hayako supportive. Kesho nitaendelea
Mwana uko vizuri., maana nimecheka kwa sauti ni vile umenikumbusha Olevel kuna mwamba alikodi mshua, yule mshua alimpiga vibaya sana mshikaji tukiwa Pared., mpaka waalimu wakamshikilia yule mshua akiwa anawaka sana..,Sitoweza kuandika kitu cha kueleweka, maana utulivu hakuna hapa. Kesho uhakika
Kishule shule hiyo kawaida sana. Wazazi wa kukodi wanakuwaga na uchungu plus hasira kuliko hata wazazi halisi π πMwana uko vizuri., maana nimecheka kwa sauti ni vile umenikumbusha Olevel kuna mwamba alikodi mshua, yule mshua alimpiga vibaya sana mshikaji tukiwa Pared., mpaka waalimu wakamshikilia yule mshua akiwa anawaka sana..,
Sawaa,, mpe hi Pretty ikiwezkana arud ktk avatarMie npo mbona jamani.. huwa nachungulia tu kimya kimya..
Sawa shekhe Yahaya [emoji28][emoji28][emoji28]
Ziko nyingi mkuu. Unataka yenye maudhui yapi?
Ziko nyingi mkuu. Unataka yenye maudhui yapi?
Iwe ndefuuu fupi InakeraaNipo naandika hapa. ππ
Aaaa banaa weka ndefuuSinamsegama ndefu zinaboa? π π