Sawa usijali. I won't disappoint you
Story za humu wapi mkuu?. Lini ushawahi kukutana na jeuri yangu? Na assume kwavile umeandika hapa, basi unanilenga Mimi.Tatizo za story za humu ni za mchongo ukishawishika kuzfwatiria unakuwa mtumwa na mwenye stori anakuwa jeuri .hajui kwamba humu kuna nani nani na kama wangerijua naamini wangerikuwa ma director bora kwenye sinema zetu hapa tanzania na afrika mashariki kwa ujmla. Kwa sababu humu ndio connection zinapoanza
Ni kweli kabisa, muda anaoutumia kureplay angeweza kushusha episode mojaAcha kureply jamani weka vituuu
Shida imeanzia hapo kwenye "wangeRIjua.......,wangeRikua"Tatizo za story za humu ni za mchongo ukishawishika kuzfwatiria unakuwa mtumwa na mwenye stori anakuwa jeuri .hajui kwamba humu kuna nani nani na kama wangerijua naamini wangerikuwa ma director bora kwenye sinema zetu hapa tanzania na afrika mashariki kwa ujmla. Kwa sababu humu ndio connection zinapoanza
Ambacho haujui mkuu, ukiandika, unahitaji urefresh kidogo akili irudi sawa. Sio rahisi kuandika continuously alaf vitu vikaeleweka mpaka wewe msomaji ukaridhika.Ni kweli kabisa, muda anaoutumia kureplay angeweza kushusha episode moja
Zozote mkuu ila exciting sio za kuboa yani kama hii tu mzee baba we nitag hata mbili tuZiko nyingi mkuu. Unataka yenye maudhui yapi?
Ambacho haujui mkuu, ukiandika, unahitaji urefresh kidogo akili irudi sawa. Sio rahisi kuandika continuously alaf vitu vikaeleweka mpaka wewe msomaji ukaridhika.
Makubaliano ni kwamba nitakuwa napost kila siku baada ya iftar, mpaka story iishe. Nisipo post, ruksa kunilaumu. Huu Muda mwingine nje ya hapo, niachie na Mimi nirefresh JF[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Utafikiri kanikoa puuu[emoji23]
Hahahaa mi mwenyewe sitaki aeke comentHahahha π π π π π nimecheka sana