Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

Sikupingi

Tunasemaga makaburi yamezika ndoto za watu wengi. Ila kwa upande mwingine mapenzi nayo yanaziua sana ndoto, huku yakituacha waotaji tuendelee kuishi kwa msoto.

shani nae anataka atoneshe kidonda
 
Nimemaliza kusoma nikajipata na huzuni moyoni, sijui ni kiasi gani nimewa disappoint wazazi wangu lakini bado wananifurahia na kunipenda, hasa Baba..!!

Shukrani sana Analyse ndiyo maana vitabu vya dini hutuasa tuwaheshimu sana wazazi wetu..!!

Luv ukuje dear...
 
Hahahahaha kwani anazaa na familia🀣🀣🀣🀣🀣🀣 hapa hoi
msemo wa mzee mbwa anafukuzia demu umbali mrefu lkn wezi umbali mfupi nimeuelewa
😊😊😊😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…