Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

Duuuh
 
Nzur
 
Jana ukarusha moja badala ya mbili nakumaind sana
Heri Mimi narusha moja kila siku. Ila kule kwingine ni kipande kimoja kila baada ya siku 3 au 4 πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜….

Nilikuwa narusha vipande viwili sababu nilikuwa napata muda wa kutosha. Ila kuanzia jana mpaka inaisha, tutarudi mwendo wa portion moja per day kama tulivyoanza πŸ˜…πŸ˜…
 
Sijui nani alikutuma ukachungulie huko umeanza kulinganisha ona sasa πŸ™†πŸΌβ€β™‚οΈπŸ™†πŸΌβ€β™‚οΈ
Siku tatu nyingi wewe inaenda wiki ya pili sasa
 
Honi inapulizwa mpk inazima dadadeeik[emoji847][emoji23][emoji23][emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…