Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

Mi huwa najiulizaga wazee wa bongo movie hawaonagi stori km iz? Maana hii ni comedy tosha

Imagine kuwe na tamthlila km ile ya zahanati ya kijii lakini iwe inahusu vituko vya shule tu ....nahisi itapendeza maana vituko vya wanafunzi hta buku mbili vinafika.
 
Back
Top Bottom