Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

Mimi nilitii maagizo ya mzee ambayo yalinifanya kuacha kujiunga na chuo kikuu Cha Muhimbili ila kwa Sasa sijutii hata kidogo.

Pumzika baba yangu huko ulipo Mungu akurehemu sijui kwa sababu tulifanana sana au ulisema Nina tabia za Babu.

Wewe ndiye ulikuwa rafiki yangu ambaye hukufurahi nilipokuwa na huzuni, kushindwa mipango yangu na kutotimiza ndoto zangu.

Pamoja ya kwamba ulikuwa na maamuzi ya kikatili juu yangu
 
Mzee dingi na aposto hiyo mechi tayari ni GG
 
Mshua: "Salimia kwanza"
Analyse: "Samahani Mzee, nilijua ni Mama, shikamoo"
Mshua: "Ni mwili mmoja, hakuna shida. Mbona hupokei simu zangu?"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamaa ili afike home ni lazima apande za mbagala, ashuke njiani arudi apande za g.mboto aende then ashuke njiani na kurudi kuanza safari ya Dampo ambapo tena atashuka na kubadilisha gari[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wazee wa mission town!
Kina Yahaya aliowaimba Jidee.
 
Mshua: "Salimia kwanza"
Analyse: "Samahani Mzee, nilijua ni Mama, shikamoo"
Mshua: "Ni mwili mmoja, hakuna shida. Mbona hupokei simu zangu?"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee wake jau kweli, yani hata ukimuita mama yeye hana noma. [emoji23][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…