Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

Jamaa ili afike home ni lazima apande za mbagala, ashuke njiani arudi apande za g.mboto aende then ashuke njiani na kurudi kuanza safari ya Dampo ambapo tena atashuka na kubadilisha gari[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wazee wa mission town!
Wana akili si kitoto [emoji38]
 
Nimecheka sana kukimbizana na mzee dingi bila sababu...! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ngoja nicomment kwanza afu nianze kusoma[emoji123]
 
ATM mwisho wa kutoka kwa masaa 24 ni 1m only
Aliyeanzisha swali kuhusu hiyo amount iliyotolewa, sikuwa na plan ya kumjibu, maana kuna some details ni irrelevant ktk simulizi, na hata ukiziweka zinaweza leta tafsiri tofauti.

Sitaki kuingia in details, naomba nikuulize swali "Katika bank unayotumia wewe, una account ngapi?". Ukielewa mantiki ya swali langu, basi hutokuwa na haja ya kunijibu mkuu. Tukutane after iftar 😅😅
 
Pamoja mkuu, tunasubiria..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…