Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

Sorry guys portion ya leo imekuwa fupi, kutokana na mazingira niliyopo. Nimejitahidi tu walau kuandika ili nisipitishe siku bila kupost, kama nilivyoahidi. Next portion nitafidia.

Nipo mazingira tight. [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Tunatakiwa tushukuru kwa chochote kile asante sana
 
Akili yote kwenye mgao.., ha ha haa
 
Mkuu embu naomba unipeleka pale ambako mzazi wako official ndio kafika shule ndio nimeishia hapo mkuu

Nawasilisha ombi

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Na hyo milion unaitoa kwa mafungu ya 400,000 mara ya kwanza,400,000 mara ya pili na 200,000 mara ya tatu

Wakat huo kabla sjastaafu labda kama utaratibu umebadilika
 
Nilikuwa huko pwani network tabu kwa mtandao wangu nmekaa siku 4 kila ikifika mda wa kufuturu na maazana kama yote najikuta nakumbuka hii story nabaki tu nasema nirudi mjiniπŸ˜” tu.Ahsante kwa kunitag mkuu kwa kila hatua,leo nmesoma portion zote na mishono ya yule mstaafuπŸ₯Ί nikaona mzee kanipiga na kitu kizito sana tena chenye ncha kali.
Namimi kwa upendeleo nimtag huyu mkuu Ushimen aje asome amuandae vzuri kijana wake.
 
ATM mwisho wa kutoka kwa masaa 24 ni 1m only
Usibishe anko, uliza tu ufafanuliwe na kingine tusikariri mambo.

ATM ukomo wa kutoa fedha unapishana kadi na kadi. So ukiona yako na ya jiran yako mwisho ni M1 kwa siku jua kuna wengine huku tunavuta hadi M25 kwa siku.

Nikupe mfano wa bank ambayo mie natumia. Hii CRDB

Kuna rank hizi kulingana na kadi yako
1. Visa TZS
2. Visa Gold
3. Visa Gold Staff
4. Visa Platinum hii unavuta daily 15M
5. Visa Infinite (ambayo mie binafs naitumia)... Features zake nakuwekea Screenshot ujisomee mwenyewe, number 7 izingatie.

Kuna jambo me napenda tuwe tunalizingatia mara kwa mara, ya kua yale tuyajuayo sio mwisho wa ufaham wa kila jambo. Tukiona tunajua "A" basi tujue kuna wengine wanajua "O" na "U".

Kabla ya kupinga jambo tufanye chunguzi kando kwani si kila jambo tusilo lifaham halina ukweli bali huenda likawa ni jambo ambalo bado hatujawa na ujuzi nalo.
 
Sorry guys portion ya leo imekuwa fupi, kutokana na mazingira niliyopo. Nimejitahidi tu walau kuandika ili nisipitishe siku bila kupost, kama nilivyoahidi. Next portion nitafidia.

Nipo mazingira tight. [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Shani atakumaliza.
 
Sorry guys portion ya leo imekuwa fupi, kutokana na mazingira niliyopo. Nimejitahidi tu walau kuandika ili nisipitishe siku bila kupost, kama nilivyoahidi. Next portion nitafidia.

Nipo mazingira tight. πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
Braza kidogo muulize ni fupi au Mimi macho yangu aisee. Ila ahsante na ubarikiwe. Pia Mungu akupe neema ya kujiondoa kwenye maagano uliyoingia humo. Mimi naamini hizi ni harakati zako halisi za maisha.
 
Antonnia Kalpana baby zu Elissante
 
Sorry guys portion ya leo imekuwa fupi, kutokana na mazingira niliyopo. Nimejitahidi tu walau kuandika ili nisipitishe siku bila kupost, kama nilivyoahidi. Next portion nitafidia.

Nipo mazingira tight. πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
Haya pole sana brother
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…