Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

Je! Usingehama kwa yule mama mstaafua angekuamini kama kweli umepata kazi nyingine na kuwa Mkiti? Nawaza ni ile dawa ya Morogoro ndo ilikupa akili ya kumfatilia mzee Dingi na ukaamua kuhama, ili mwisho wa siku ujustify kazi yako mpya ya uongo kwamba iko mbali na makazi ndo maana ukahama.
Heshima kwake mzee KY [emoji119][emoji119]
 
Mzee KY naona anaupiga mwingi sana

Sema nilichogundua ukiwa mtulivu na ukajua kuzichanga vizur karata zako haya maisha ni simple sana, Imagine kina mzee KY wanaishi na kupiga pesa ndefu kupitia ujinga wa watanzania wengne
Kuna mdada mmoja ameshawahi andika hapa kuwa Tanzania Kuna fursa nyingi mno.

Cheki ujinga na uvivu wao so ndio hapo hapo fursa
Nimesahau jina Ila nakumbuka nilimuunga mno mkono
 
Aisee nimecheka mpk machozi yamenitoka.πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Hizi mambo zipo watu wanazani comedy🀣🀣🀣🀣
 
Sorry guys portion ya leo imekuwa fupi, kutokana na mazingira niliyopo. Nimejitahidi tu walau kuandika ili nisipitishe siku bila kupost, kama nilivyoahidi. Next portion nitafidia.

Nipo mazingira tight. πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
πŸ‘
 
Mjini mipango mzee keshoyetu anaintelijensia ya utapeli na anakula kiulaini, apostle amueleze ukweli mstaafu kabla mstaafu ajalizwa
 
Nilijua tu Kuna mtu atapoint hii kitu, NBC unatoa zaidi ya 1M kwa siku ATM ila nmb ni 1M peka yake ATM! Ila stori ni ya muda Sina uzoefu sana na nmb miaka ya nyuma
Story ni tamu sana, ila mstaafu tena mwanamke kwenda kukagua na kununua kiwanja mwenyewe bila shahidi/mtoto/mtu wake wa karibu inafikirisha sana!!

All in all, story haichoshi kuisoma!!
 
Mzee KY fundi sana aisee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kampeleka mtu kupikwa kumbe ana mipango yake binafsi yeye mwenyewe!!
 
Kwaiyo mzee KY mmmh ila hili kifupisho chake alikuwa anakutambua vilivyo kuwa unamfaham mama ila akakutega tu na alishajua kuwa dili litafell
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…