Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 4,302
- 7,815
Wanajua zipo lakin hawana pesa yakuwekezaBongo movie wanahangaika na stories za hovyo wakati watu story kali hivi [emoji91]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanajua zipo lakin hawana pesa yakuwekezaBongo movie wanahangaika na stories za hovyo wakati watu story kali hivi [emoji91]
Sema mwandishi ndo anazingua hajatupia siku mingi kwelNilikuwa naigore sana hii kila nikiingalia heading yake, kumbe ipo vizuri
Mbona jana tu katupia, huyu anatupia karibia kila siku.Sema mwandishi ndo anazingua hajatupia siku mingi kwel
Steve ndo anazinguaMbona jana tu katupia, huyu anatupia karibia kila siku.
Mkuu, wewe unaweza kwenda kununua shamba au kiwanja alafu usiende na mtu wako wa karibu? I mean rafiki/mke/kaka/dada/ndugu wa karibu??Shahidi wake si ndio huyo Mzee Dingi?
Yule Steve anazingua sn,mpaka watu wambembeleze km mtoto wa kike[emoji1745]Steve ndo anazingua
Labda wa kikeYule Steve anazingua sn,mpaka watu wambembeleze km mtoto wa kike[emoji1745]
Mshikaji huwa hana heading za kuvutia kama magazeti ya shigongo ila contents zake ndio balaa.Nilikuwa naigore sana hii kila nikiingalia heading yake, kumbe ipo vizuri
Asipotuma tunamzingua
Hivi hii movie inaweza kugharimu kiasi gani? wenye uzoefuWanajua zipo lakin hawana pesa yakuwekeza
Hii sasa ndo chai mbichiSema mwandishi ndo anazingua hajatupia siku mingi kwel
Sawa ApostleWakuu nivumilieni kidogo, leo nitachelewa kupost. But I promise nitapost. Atleast kabla ya saa tatu na robo [emoji120]
I can't waitWakuu nivumilieni kidogo, leo nitachelewa kupost. But I promise nitapost. Atleast kabla ya saa tatu na robo [emoji120]