Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

Ilikuaje Mzee akakuonea huruma akakupa hata senti? Mbona wengine walichinjwa baharini kabisa?
Hawakuchinjiwa baharini. Ni mm ndio nilikuwa sijui makubaliano yao. Kama wao ambavyo hawakujua kama nilipewa hela.

Kama ilivyokuwa kwangu tu, wao pia walipewa ganji ndogo, sio mgao halisi
 
Hawakuchinjiwa baharini. Ni mm ndio nilikuwa sijui makubaliano yao. Kama wao ambavyo hawakujua kama nilipewa hela.

Kama ilivyokuwa kwangu tu, wao pia walipewa ganji ndogo, sio mgao halisi
Owky....ila duniani Kuna mengi mno.
 
Kwa wenyeji wa Town, nawanazozijuwa juwa hizi mishe huwezi kumcheka mtu aliyetapeliwa. Kuna watu huwa wanasema amefanyiwa dawa ila mda mwingine ni sanaa tu. Ikitokea umeingia anga za mzee KY na anataka kukupiga daaah lazima aanzie mbali sana na huwa ningumu kuchokoma. Thanks masee an tunasubili next..,
Loophole niliyoiona hapo tu ni kwamba mama mstaafu anashindwa vipi kujua kua mwenyekiti hua anachaguliwa na wananchi kwenye uchaguzi wa serikali za mtaa na Wala sio kazi ya kupewa kama ajira?

Anyway Bonge la story!!
 
Hivi hii movie inaweza kugharimu kiasi gani? wenye uzoefu

Tunaweza kuitafutia wafadhili...!!!

Haya ni mafundisho kwa vijana wengi wanaomaliza vyuo na kuanza maisha...

Analyse raphael andrew
Inategemea na wahusika mkuu ukitaka mastaa Bei huwa juu Sana maana malipo yao nayo yapo juu lakin ukichukua wale wa Hali ya Kati na ukataka kila tukio liwe Kama hivi ilivyosimuliwa ni zaidi ya 100m
 
I think nafasi yake ni mtendaji sio m/kiti
Nadhani hivo pia, japo wengi hua wanafanya mikataba na wenyekiti wakiamini ndo wazawa na wanajua historia ya maeneo tofauti na watendaji waoletwa tu na serikali, sijawahi Kuona mkataba wa mauziano ya ardhi yalioidhinishwa na mtendaji bila uhusika wa mwenyekiti
 
Loophole niliyoiona hapo tu ni kwamba mama mstaafu anashindwa vipi kujua kua mwenyekiti hua anachaguliwa na wananchi kwenye uchaguzi wa serikali za mtaa na Wala sio kazi ya kupewa kama ajira?

Anyway Bora la story!!
😅😅😅😅 Mkuu hayo mambo unayajua ww. Ila ofisini hakupo hivyo, hasa ukiwa na shida. Hujawahi kwenda serikali ya mtaa, alaf fomu zikasainiwa na mjumbe? 😅😅

Huku sio Ulaya 😅😅
 
Back
Top Bottom