Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nshaweka alama tayari "The heavy weight Ari"Nipo naandika hapa. Baadae nitaweka. Nataka kupost portion mbili leo
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23]Oyaa unafuturu maweee?
Hawakuchinjiwa baharini. Ni mm ndio nilikuwa sijui makubaliano yao. Kama wao ambavyo hawakujua kama nilipewa hela.Ilikuaje Mzee akakuonea huruma akakupa hata senti? Mbona wengine walichinjwa baharini kabisa?
Owky....ila duniani Kuna mengi mno.Hawakuchinjiwa baharini. Ni mm ndio nilikuwa sijui makubaliano yao. Kama wao ambavyo hawakujua kama nilipewa hela.
Kama ilivyokuwa kwangu tu, wao pia walipewa ganji ndogo, sio mgao halisi
Eti nikavukuta vizee vitatu 😂😂😂😅😅😅😅
Loophole niliyoiona hapo tu ni kwamba mama mstaafu anashindwa vipi kujua kua mwenyekiti hua anachaguliwa na wananchi kwenye uchaguzi wa serikali za mtaa na Wala sio kazi ya kupewa kama ajira?Kwa wenyeji wa Town, nawanazozijuwa juwa hizi mishe huwezi kumcheka mtu aliyetapeliwa. Kuna watu huwa wanasema amefanyiwa dawa ila mda mwingine ni sanaa tu. Ikitokea umeingia anga za mzee KY na anataka kukupiga daaah lazima aanzie mbali sana na huwa ningumu kuchokoma. Thanks masee an tunasubili next..,
alivoanza alikua anaweka portion mbili, saiv sijui nini kimempata 🙄Daah wee ni next level...
Natamani ingekuwa ndefuu...
I think nafasi yake ni mtendaji sio m/kitiLoophole niliyoiona hapo tu ni kwamba mama mstaafu anashindwa vipi kujua kua mwenyekiti hua anachaguliwa na wananchi kwenye uchaguzi wa serikali za mtaa na Wala sio kazi ya kupewa kama ajira?
Anyway Bora la story!!
Inategemea na wahusika mkuu ukitaka mastaa Bei huwa juu Sana maana malipo yao nayo yapo juu lakin ukichukua wale wa Hali ya Kati na ukataka kila tukio liwe Kama hivi ilivyosimuliwa ni zaidi ya 100mHivi hii movie inaweza kugharimu kiasi gani? wenye uzoefu
Tunaweza kuitafutia wafadhili...!!!
Haya ni mafundisho kwa vijana wengi wanaomaliza vyuo na kuanza maisha...
Analyse raphael andrew
Kama unaziona hahahahahAisee nimecheka sn mana sio kwa ngumi hizo. Asante mkuu hadithi ni nzur sn ntmn ungeendelea kdg
Nadhani hivo pia, japo wengi hua wanafanya mikataba na wenyekiti wakiamini ndo wazawa na wanajua historia ya maeneo tofauti na watendaji waoletwa tu na serikali, sijawahi Kuona mkataba wa mauziano ya ardhi yalioidhinishwa na mtendaji bila uhusika wa mwenyekitiI think nafasi yake ni mtendaji sio m/kiti
😅😅😅😅 Mkuu hayo mambo unayajua ww. Ila ofisini hakupo hivyo, hasa ukiwa na shida. Hujawahi kwenda serikali ya mtaa, alaf fomu zikasainiwa na mjumbe? 😅😅Loophole niliyoiona hapo tu ni kwamba mama mstaafu anashindwa vipi kujua kua mwenyekiti hua anachaguliwa na wananchi kwenye uchaguzi wa serikali za mtaa na Wala sio kazi ya kupewa kama ajira?
Anyway Bora la story!!