Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

Yani nasoma utafikiri nipo naangalia movie directed by Christopher Nolan, Mzee ky is the best
 
inatakiwa ufahamu mzee dingi anaishi kwa mchongo, km kwenda kwake anafanya mzunguko kiasi hiko na kubadili dala dala hizo ndio arudi kwake hivi anaweza kuweka hela ac moja kweli??

au unasoma story kutafuta makosa sio kujifunza mkuu,.
Mim nikimui magine mzee ding.nafananisha na babu wa tiktot
 
Endelea...
 
Story ni tamu sana, ila mstaafu tena mwanamke kwenda kukagua na kununua kiwanja mwenyewe bila shahidi/mtoto/mtu wake wa karibu inafikirisha sana!!

All in all, story haichoshi kuisoma!!
Shahidi wake si ndio huyo Mzee Dingi?
 
Uzi ulinipita huu ila nimeuona leo nimejikuta nasoma vipande uyote 17 tangu saa 4 ndo namaliza sasa na kuingia kwenye orodha ya kusubiri mwendelezo
 
Achana nao hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…