Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

😅😅😅😅 Mkuu hayo mambo unayajua ww. Ila ofisini hakupo hivyo, hasa ukiwa na shida. Hujawahi kwenda serikali ya mtaa, alaf fomu zikasainiwa na mjumbe? 😅😅

Huku sio Ulaya 😅😅
Nimegusia Hilo sio kwa ku criticize Bali hapa tunapeana fundisho so ni Bora watu wakagusia loopholes wanazoziona Inaweza kumsaidia mwana jf asiingizwe kingi kupitia bandiko lako

Vilevile mjumbe anaweza Saini fomu yangu ila sio kwenye Dili linalohusisha tens of millions ya fedha taslimu

Peace!!
 
Hii portion moja tu imekaa kiprofesor sana aisee hii tu unaandaa Movie kama sio Series basi Part 1 hadi 4
Hakyanaaani tena tulijua hizi akili nmi ulaya tu kwa akina Prison Break au Money heist
Kumbe chanzo ni huku aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…