Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

[emoji23][emoji23][emoji23]

Furusa gani umeiona mkuu hapo ? [emoji23][emoji23]
Akili ndio mpango ..[emoji38]
Akili hii hii aloyoiwekea kwenye kupangilia maneno ndio akili hiyo hiyo anaweza kubadilisha maneno kuwa hela[emoji38] ...
Humu ndio kina Gwajiboii [emoji1]

Kama unajua unajua tu ,Mungu hawez kukunyang'anya Talanta aliokupatia

Sugu aliimba " Dunia sio mbaya Ila walimwengu ndio wabaya" walimwengu pamoja na mapepo!
 
Aiseeee
 
Hii stori ilikuja kuwa nongwa aliposema amekaa kwenye nyumba mbili tofauti za mama anayetapeliwa kabla hajahama sababu mzee dingi alipafahamu vipi mzee dingi alikuwa anakaa nae kwenye nyumba zipiπŸ˜€πŸ˜€
 
Hii stori ilikuja kuwa nongwa aliposema amekaa kwenye nyumba mbili tofauti za mama anayetapeliwa kabla hajahama sababu mzee dingi alipafahamu vipi mzee dingi alikuwa anakaa nae kwenye nyumba zipiπŸ˜€πŸ˜€
Nyumba ya kwanza ya huyu mama, nilikaa hata kabla sijafahamiana na Mzee Dingi. Na nilivyohama nyumba ya huyo mama, nilihamia nyumba nyingine before sijahamia aalipokuwa anaishi Mzee Dingi. Na hata nilivyokuja kufahamiana na Mzee Dingi na kumfata kumuomba connection, pale nilikuwa nishakaa kwenye ile nyumba long enough...

What are you trying to prove buddy? Hii story hujibii necta. Do what pleases you, whether ni chai or uji πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…