Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

Kama mtu ashazoea kunyw uji wa ulezi ukimpa uji wa Mchele atapata shidaπŸ˜€

walishindw kumuamini Yesu ni masihi watakuamini wewe aposto ? That's how life is brotherπŸ˜€
 
Juzi jumamosi maeneo ya buguruni chama, ukilivuka tu daraja la treni, kuna jamaa muokota makopo aligongwa na bodaboda. Alistrugle pale hadi akafa, no one went of help. Nilipita around saa moja nikiwa ndani ya gari, nikakuta ameshakufa, raia walichofanya ni kumfunika tu. Trafk yupo anaita magari tu ili kupunguza foleni.

Raia wapo, askari wapo, wenye magari na usafiri wapo, ila yule jamaa alikufa wanamuangalia. Sembuse kupigana? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
We call it bystander effect. Hakuna anayejali, kila mtu anahisi atatokea wa kuamua. Huo msaada hautofika kamwe...
 
Nisameheni sana wakuu, bahati mbaya dharura haiji na taarifa. Kune emergency ilijitokeza kwa upande wangu, that's why nilikuwa kimya tokea jumamosi jioni.

Twende pamoja, tumalizie πŸ™πŸ™
usijal mkuu, tuendelee kujifunza kutoka kwako
 
Aaliyyah na ERoni 15 hii hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…