Sijawahi kukutana na mwanamke bikra katika mapenzi

Sijawahi kukutana na mwanamke bikra katika mapenzi

Basi ndiyo ujue kuwa kumtoa mwanamke bikira siyo kigezo cha yeye kukupenda sana na kuwa na wewe milele.

Kwahiyo uliposema haujawahi kuwa 'siriaz' na mwanamke ambaye haukumbikiri maana yake ni kwamba kwako mwanamke uliyembikiri wewe unaona ndiye sahihi kuliko ambaye haujambikiri wewe.

Kila mtu ana uhitaji wake kutokana na anavyoamini katika mapenzi, binafsi nikishajua ke sio bikra huwa siweki malengo nae na nalikubali hilo kabla hata ya kuanzisha ukaribu.
Siwezi usemea moyo wa mtu mkuu hilo layeye kunipenda milele analijua yeye na moyo wake, ila wengi wao ni wasumbufu sana kwa walioanza nao maisha ya mapenzi jiulize kwanini huwa hawakubali ku move on jumla na wengine wapo kwenye ndoa?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Asiyejua maana haambiwi maana
 
Hauko pekeako, Nimeshagonga madem zaid ya 100, na sijawahi kuta bikra

Pole sana shida unapiga 20+yrs na wala bata(slay qeen) wala bata hawana bk ata za kununua.

Badilisha upepo saivi kama hujawapata hadi ushangae, ila ukivunja sheria uko sipo miaka 30. tafuta walio malizo f4, f6, na chuo 1st yrs iwe certificates, bachelor
 
2014.....niko najitolea mahali baada ya kutoka JKT nksubr kwnda chuo mwez Nov, nlikutana na binti mmoja mzur sana, dini sana yan, akanielewa,tukadate huku akiwa kanihakikishia kuwa yeye ni bikra, ile 2015 april nkiwa chuon yeye yupo dar, tukapanga kuonana, huyo nikasafr from Dom to Dar, meeting her by suprise she wasn't a virgin, nliumia sana..... akaniomba msamaha maisha yakaendelea nko nae adi leo ila ukwel alinitoa kwenye plan zangu kabsa 'bnafs nlipanga mwanamke ntakaemtoa bikra ndo ntakae muoa' ila ndo hvo tena, Huu uchungu haujawah isha sijui kwanin, nyuzi za hivi huwa znaniumiza mno mpaka sasa.
Pole sana mkuu

Sent From Galaxy S20 Ultra
 
Back
Top Bottom