and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,477
- 40,278
Mzalendo zaidi ya Nyerere?! Mbona Nyerere enzi zake alikuwa anacharaza hiyo ngeli?Ni mzalendo hasa
Hamfikii hata Gambo kwa kutema yai.Atakuwa anajua hata cha kuunga unga
Dah mwana si aende kwa rasi simbaAnaongea kiingereza cha tabu sana. Akiongea kiingereza na mtu asijejua kiswahili itakuwa ngumu kuelewana, maana kiingereza chake kinaeleweka kwa mtu anayejua kiswahili. Mfano, kama umekaa badala ya kukumbia stand up ili usimame, atakwambia stop.
Sio Ras Simba ndio aende Arusha?Dah mwana si aende kwa rasi simba
Anaona soo maana anajiona ana bonge la cheo.Dah mwana si aende kwa rasi simba
ππππKingereza kwa msomi wa kitanzania ni Mzimu wa kutisha kama.nsyuka
Msukuma na kiingereza wapi na wapi, umesahau kingereza cha mjomba Magu?1. Jiji la Arusha hupokea wageni wa Kimataifa mara kwa mara tofauti labda na Lindi au Rukwa hukoo. Ila sijawahi kumsikia Mheshimiwa akitema yai.
2. Mwenye ushahidi (video clip) akiwa anaongea lugha tajwa aweke hapa.
Zawadi Nono kutolewa kwa yeyote atakayeleta ushahidi huyo mwamba akiwa anatema ngeli