Sijawahi kumsikia MAKONDA akiongea Kiingereza

Zawadi Nono kutolewa kwa yeyote atakayeleta ushahidi huyo mwamba akiwa anatema ngeli
😂😂😂
 
Nasikia anasoma chekechea pale Arusha, akijifunza Kiingereza na watoto wadogo.
 
Ipo ile clip akiwasema watu wa Arusha juu ya vifo vya Watoto kuna kauli yake alisema kwa Kiinglishi “You guys are you praying”
 
Ulizia kwanza matokeo yake ya form 4
 
Watunga sheria wa shitholeni quality yao hata kuongoza familia tu ni assignment, warushe na clip ya mwegulue au rizimoko uone comedians wenye pawa ndani ya shithole wanaosign mikataba na wakoloni yenye page 500-5000 kwa niaba ya kenge wote😜
 
Yule anachoweza ni kuua tu😂
 
 

Attachments

  • 38d50e7f-f12c-4de4-a360-de8861c2ff92.jpeg
    50.8 KB · Views: 1
Aliacha kuongea baada ya kujiuma ulimi ukakatika pale AICC Arusha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…