Sijawahi kuona beki mjinga kama Thiery Manzi,unaumizaje mwana Africa Mashariki kikatili

Sijawahi kuona beki mjinga kama Thiery Manzi,unaumizaje mwana Africa Mashariki kikatili

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Jamaa ni kama alitumwa na uto kuwavunja wachezaji wa Simba.
Refa nae akawa fair sana yule alitakiwa red card kwa uchezaji wake wa kikatili.

Alichosahau yuko Libya kikazi ila huku Tanzania watutsi wenzake wamejazana , dada zake tunawamwagisha maji kwa kale kamchezo ketu huku Ngara.

Si ajabu ana ndugu huku Tanzania,si ajabu dada zake waneolewa Tanzania,

Si ajabu angecheza kistaarabu mnyama angemsajiri huko mbeleni maana hujui ya kesho.

Ile rafu ya Debora mpaka unaogopa kuangalia marudio,nilijua tayari nje miezi sita.

Si ajabu hata viongozi watimu yake wamemshangaa kujifanya ana uchungu kuliko waarabu wenyewe,eti leo kajitia kuomba radhi

Jinga kabisa
 
Wangekula umeme au lile goli lingekubaliwa ile dakika ya 60, wangekula hata 7 wale maana tungewashambulia kama nyuki. KInachotusikitisha, siyo kawaida yetu kumtoa mtu kwa goli chache.
Ila yule mchezaji alistahili kadi nyekundu mapema tu. Ukosefu wa umakini kutoka kwa waamuzi, na pia kukosekana kwa VAR kulimuokoa.
 
Kilochowakuta Waamuzi wa jana ndio ule usemi wa tenda wema uende usingoje shukurani, walistahili red card lakini refa hakutoa,goli halali likakataliwa,wameshika kwenye box hakutoa penati na bado baada ya mechi wametaka kumpiga.
Refa kawabeba sana
 
Ila yule mchezaji alistahili kadi nyekundu mapema tu. Ukosefu wa umakini kutoka kwa waamuzi, na pia kumosekana kwa VAR kulimuokoa.
Hapo ndioo huwa nakupaga heshima kwa hilo, huwa unaweka ushabiki na mahaba pembeni na kusema ukweli.
 
Alikuwa na yellow card,akaja kumfanya rafu mbaya Fernades akaachwa,akaja kumkanyaga Ahoua makusudi akaachwa,akaja kumpiga kichwa sijui Ateba akaachwa pia,yule jamaa alistahili red card mapema.
Yule ni Mtusi na tabia za vita vita NI zao. Mpuuzi Sana yule
 
Back
Top Bottom