Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heshima yako mkuu , wewe ni mwanamichezo wa ukweli.Ila yule mchezaji alistahili kadi nyekundu mapema tu. Ukosefu wa umakini kutoka kwa waamuzi, na pia kumosekana kwa VAR kulimuokoa.
Debora siyomwana Afrika mashariki ila kaja kucheza Afrika mashariki.
Mi mpaka nilikuwa naogopa kuangalia picha za marudio,nilijua tayari nje miezi sitaAlikuwa na yellow card,akaja kumfanya rafu mbaya Fernades akaachwa,akaja kumkanyaga Ahoua makusudi akaachwa,akaja kumpiga kichwa sijui Ateba akaachwa pia,yule jamaa alistahili red card mapema.
Ndugu zake kuwepo Tanzania hiyo haimhusu chochote yeye, pia kuwa jirani wa Tanzania nayo siyo issue.Jamaa ni kama alitumwa na uto kuwavunja wachezaji wa Simba.
Refa nae akawa fair sana yule alitakiwa red card kwa uchezaji wake wa kikatili.
Alichosahau yuko Libya kikazi ila huku Tanzania warutsi wenzake wamejazana tuba dada zake tunawamwagisha maji kwa kale kamchezo ketu huku Ngara.
Si ajabu ana ndugu huku Tanzania,si ajabu dada zake waneolewa Tanzania,
Si ajabu angecheza kistaarabu mnyama angemsajiri huko mbeleni maana hujui ya kesho
Jinga kabisa
View attachment 3104579ni mnafki tu
Tumekuwa wastaarabu sana kwa hii timu. Kuna wakati nilikuwa nashangaa mbona wachezaji wa Simba wamezidi kwa upole wa kupitiliza? Labda ni mafunzo na maelekezo waliyopewa na viongozi wao ila naona kama ilizidi.
Hana akili naangalia marudio hapa jamaa ana rafu za kijinga sana tena zile ndondo ya zamani
Watanzania tumezidi upoleTumekuwa wastaarabu sana kwa hii timu. Kuna wakati nilikuwa nashangaa mbona wachezaji wa Simba wamezidi kwa upole wa kupitiliza? Labda ni mafunzo na maelekezo waliyopewa na viongozi wao ila naona kama ilizidi.
Tunapokwenda huko tujaribu kujua jinsi ya kubalance, waarabu wamejaa kama wote huko mbele ya safari. Tusiwe wanyonge saaana.
Kaka mpira unahitaji wanaume wavumilivu sana. Nini mantiki ya kumrukia mtu umuumize kisa unalipa kisasi halafu unapewa kadi nyekundu?Tumekuwa wastaarabu sana kwa hii timu. Kuna wakati nilikuwa nashangaa mbona wachezaji wa Simba wamezidi kwa upole wa kupitiliza? Labda ni mafunzo na maelekezo waliyopewa na viongozi wao ila naona kama ilizidi.
Tunapokwenda huko tujaribu kujua jinsi ya kubalance, waarabu wamejaa kama wote huko mbele ya safari. Tusiwe wanyonge saaana.
Hakuna anayesema umrukie mtu au urushe ngumi, ila hata kulalamika kwa refa au kumzonga mchezaji anayehusika nalo tunashindwa? Angalia matukio yote ya huyu jamaa, hakuna hata mchezaji mmoja wa Simba aliyeonekana kureact. Ni kocha pekee ndiyo aliyeonekana kureact.Kaka mpira unahitaji wanaume wavumilivu sana. Nini mantiki ya kumrukia mtu umuumize kisa unalipa kisasi halafu unapewa kadi nyekundu?
Huoni kama utaicost timu?
Jamaa hana uungwana kabisa .rafu za kijinga mno ,uko sahihi,alitakiwa kuzongwa aswaaHakuna anayesema umrukie mtu au urushe ngumi, ila hata kulalamika kwa refa au kumzonga mchezaji anayehusika nalo tunashindwa? Angalia matukio yote ya huyu jamaa, hakuna hata mchezaji mmoja wa Simba aliyeonekana kureact. Ni kocha pekee ndiyo aliyeonekana kureact.
Ukiacha haya matukio tunayoongelea, kuna lingine alimpiga kikumbo Camara baada ya kudaka kona. Lile pekee ndiyo niliona beki mmoja wa Simba alireact.
Nyakati kama hizi ndiyo tunammiss Kanoute. Mbona jana angemfurahisha...Jamaa hana uungwana kabisa .rafu za kijinga mno ,uko sahihi,alitakiwa kuzongwa aswaa