Sijawahi kuona beki mjinga kama Thiery Manzi,unaumizaje mwana Africa Mashariki kikatili

Debora siyomwana Afrika mashariki ila kaja kucheza Afrika mashariki.
Pale aliwakilisha Simba timu ya africa mashariki,kumuumiza Debora ni kuumiza roho za waba africa mashariki,debora bula timu ni sawa na samaki bila maji
 
Alikuwa na yellow card,akaja kumfanya rafu mbaya Fernades akaachwa,akaja kumkanyaga Ahoua makusudi akaachwa,akaja kumpiga kichwa sijui Ateba akaachwa pia,yule jamaa alistahili red card mapema.
Mi mpaka nilikuwa naogopa kuangalia picha za marudio,nilijua tayari nje miezi sita
 
Ndugu zake kuwepo Tanzania hiyo haimhusu chochote yeye, pia kuwa jirani wa Tanzania nayo siyo issue.
Alichokuwa akikifanya uwanjani ni upuuzi mkubwa wa kukemewa. Alistahili kupigwa red card mapema tu.
 
Tumekuwa wastaarabu sana kwa hii timu. Kuna wakati nilikuwa nashangaa mbona wachezaji wa Simba wamezidi kwa upole wa kupitiliza? Labda ni mafunzo na maelekezo waliyopewa na viongozi wao ila naona kama ilizidi.

Tunapokwenda huko tujaribu kujua jinsi ya kubalance, waarabu wamejaa kama wote huko mbele ya safari. Tusiwe wanyonge saaana.
 
Hana akili naangalia marudio hapa jamaa ana rafu za kijinga sana tena zile ndondo ya zamani

Watanzania tumezidi upole
 
Kaka mpira unahitaji wanaume wavumilivu sana. Nini mantiki ya kumrukia mtu umuumize kisa unalipa kisasi halafu unapewa kadi nyekundu?

Huoni kama utaicost timu?
 
But lile goal lililokataliwa kama lingefungwa na mwarabu bas wale jamaa wangemsonga refa mpaka angekubali kuwa ni goli
 
Kaka mpira unahitaji wanaume wavumilivu sana. Nini mantiki ya kumrukia mtu umuumize kisa unalipa kisasi halafu unapewa kadi nyekundu?

Huoni kama utaicost timu?
Hakuna anayesema umrukie mtu au urushe ngumi, ila hata kulalamika kwa refa au kumzonga mchezaji anayehusika nalo tunashindwa? Angalia matukio yote ya huyu jamaa, hakuna hata mchezaji mmoja wa Simba aliyeonekana kureact. Ni kocha pekee ndiyo aliyeonekana kureact.

Ukiacha haya matukio tunayoongelea, kuna lingine alimpiga kikumbo Camara baada ya kudaka kona. Lile pekee ndiyo niliona beki mmoja wa Simba alireact.
 
Jamaa hana uungwana kabisa .rafu za kijinga mno ,uko sahihi,alitakiwa kuzongwa aswaa
 
Jamaa hana uungwana kabisa .rafu za kijinga mno ,uko sahihi,alitakiwa kuzongwa aswaa
Nyakati kama hizi ndiyo tunammiss Kanoute. Mbona jana angemfurahisha...

Baada ya kuumia kwa Kagoma, Simba iliutoa mpira nje ili atibiwe. Jamaa wakaja kujianzishia bila kujali fair play. Inabidi matukio yote haya yaorodheshwe yatumwe CAF.
 
mwenzenu kaambiwa acheze vile na kocha. unajua akili za waarabu nyinyi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…