Sijawahi kuona beki mjinga kama Thiery Manzi,unaumizaje mwana Africa Mashariki kikatili

Mbumbu mnapenda sana kulalamikia vitu vidogo, ile rafu ni nyepesi sana, tena ilitakiwa iwe fair challenge kabisa.
 
Mbumbu mnapenda sana kulalamikia vitu vidogo, ile rafu ni nyepesi sana, tena ilitakiwa iwe fair challenge kabisa.
Kama we unakaa kwa shemeji huwezi kuelewa,e ni kazi,Manula tangu apate majeraha sio yule tena,kumbuka mpira mchezo waajabu miaka 35 ni mzee ,ukimvunja mwenzio familia yake itateseka bure kwa ajili yako
 
Lkn ile ni nyepesi sana.
 
Mpira ni mchezo wawanaume ninyi wanawake munalazimisha tu kushabikia
 
Jamaa ni kama alitumwa na uto kuwavunja wachezaji wa Simba.
Refa nae akawa fair sana yule alitakiwa red card kwa uchezaji wake wa kikatili.
Acheni kulia nyie. Mnakoenda ni kugumu kuliko mlikotoka. Matukio kama haya yawakomaze sasa
 
Attachments

  • images (6).jpeg
    31.5 KB · Views: 1
Eti timu imeshinda, ila cha kushangaza mashabiki wake bado wanalia lia tu kama watoto walionyimwa peremende.
We unaona ni timu gani inaweza kuifunga Simba kwenye ligi kuu mwaka huu?

Mark this post.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…