The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,242
- 45,930
huku ni Tanzania
Where quality means nothing!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huku ni Tanzania
Kitu gani ni halisi au cha kiwango bora hasa kwenye hizi nchi maskini? Wakati mwingine hata kama unapesa yako na unataka kitu kizuri kukipata chenye ubora inakuwa shida. Ndio maana wengine wanaamua kuelekea kwenye mitumba tu angalau huko watapata vitu vya ukweli japo vimetumika.
Bidhaa nyingi, achilia mbali mavazi, zinazotengenezwa kulenga soko la nchi zetu zina viwango duni sana.
Shukrani nyingi kabisa zimwendee mchina.
Sawa, but bootlegging is so brazen it makes you wonder a lot of things...
Na hapo ndio hoja yako inapokuwa na mantiki kwamba vyombo au mamlaka husika hazifanyi kazi zao ipasavyo.
Imagine huko kwenye vyakula, vinywaji, na madawa....hakuna Coca-Cola na Pepsi feki kweli?
Hakuna Viagra feki huko mitaani ambazo huuzwa kwenye hayo maduka ya dawa baridi?
Lord have mercy!!
Sikutaja nembo...nimejumuisha.Usiyemjua humjui tu.
Mimi si mtu wa kuvaa lifulana lina maandishi ya Gucci kifuani.
Siyo zangu kabisa.
Hivyo pole yako ipeleke kwingine maana kwangu umenoa.
Bila kumsahau "Rais wa viwanda"Shukrani nyingi kabisa zimwendee mchina.
Tunatekeleza Sera ya ujenzi wa viwanda, we kana imekuuma sana katakata ndimu za kutosha, tia pili pili mbuzi debe zima kisha tafuna usiku na mchana.Kilicho feki ni watu kuiga bidhaa za wengine na kuziuza kwa kutumia jina lao.
Wewe siyo Gucci kwa nini utengeneze kofia ya Gucci halafu uiuze kibandani?
Kwa nini usitumie jina jingine utumie jina lao?
Hapo ndipo ufeki ulipo.
sana mamaeeeePale unapotoka ulaya uje uswazi ili utambe na nguo yako yenye nembo maarufu alafu unakuta muokota chupa ameivaa then copyright....mbwembwe zote zitakuisha na kuishia JF kulia
Pole mkuu Mchina si mtu mzuri hata kidogo.
mjini hapa bila kuwa mjanja utapata wapi pesaKilicho feki ni watu kuiga bidhaa za wengine na kuziuza kwa kutumia jina lao.
Wewe siyo Gucci kwa nini utengeneze kofia ya Gucci halafu uiuze kibandani?
Kwa nini usitumie jina jingine utumie jina lao?
Hapo ndipo ufeki ulipo.