Sijawahi kuona haya mashirika ya umma yakitangaza kazi

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
10,406
Reaction score
19,892
Hivi haya mashirika ya umma huwa yanawapataje watumishi wake, au huko kwenye hayo mashirika huwa hakuna watu wanaostaafu au kufa ili nafasi zibaki wazi?maana sijawahi kukutana na matangazo yao ya kazi kabisa
1. NSSF
2. NHIF
3. PSSSF
4. TCRA
5. WCF
6. MSD
7. TPDC
8. TIC
9. NGORONGORO CONSERVATION
10. TFDA
 
Hivi haya mashirika ya umma huwa yanawapataje watumishi wake, au huko kwenye hayo mashirika huwa hakuna watu wanaostaafu au kufa ili nafasi zibaki wazi?maana sijawahi kukutana na matangazo yao ya kazi kabisa
1.NSSF
2.NHIF
3.PSSSF
4.TCRA
5.WCF
6.MSD
7.TPDC
8.TIC
9.NGORONGORO CONSERVATION
10.TFDA
Huwa wanatangaza, tembelea kule Sekretariati ya ajira utaona. Mimi hapo kwenye hiyo orodha kuna mashirika nilifanya usaili na nilipataga kazi kwenye moja wapo japokuwa sikwenda kuripoti. Ilikuwa kupitia PSRS.
 
TFDA = TMDA
 
Nafikiri mtoa mada ana maanisha kuwa matangazo ya ajira hizo yanatangazwa baada ya wateule kuhakikisha kuwa nafasi zao zimeshapstikana na watoto wao.
Zinazobaki zinawekwa kwenye tovuti.

Ukiwa kule Nampembe huwezi kuona Tangazo la ajira hizo kwenye ofisi za Mtendaji wa Kata au mkurugenzi wa Wilaya kama matangazo ya madereva.[emoji23]
 
Sasa huwa zinatangazwa wapi maana ajira portal haziwekwi na kwenye website za mashirika husika hakuna kitu?
 
Hivi haya mashirika ya umma huwa yanawapataje watumishi wake, au huko kwenye hayo mashirika huwa hakuna watu wanaostaafu au kufa ili nafasi zibaki wazi?maana sijawahi kukutana na matangazo yao ya kazi kabisa
1.NSSF
2.NHIF
3.PSSSF
4.TCRA
5.WCF
6.MSD
7.TPDC
8.TIC
9.NGORONGORO CONSERVATION
10.TFDA
Nimeshawahi kuona tangazo la kazi MSD kwenye ajiraportal.go.tz mkuu
 
Hivi haya mashirika ya umma huwa yanawapataje watumishi wake, au huko kwenye hayo mashirika huwa hakuna watu wanaostaafu au kufa ili nafasi zibaki wazi?maana sijawahi kukutana na matangazo yao ya kazi kabisa
1.NSSF
2.NHIF
3.PSSSF
4.TCRA
5.WCF
6.MSD
7.TPDC
8.TIC
9.NGORONGORO CONSERVATION
10.TFDA
MSD na TFDA huwa wanatoa kipaumbele saana kwa watu waliosomea nje

TCRA huwa wanatabia ya kuchukua vyuoni wale the best pia hii na TISS ni kulwa na doto WAMEJAZANA HUKO

TPDC pia wamejaza watu waliosomea nje huku kuna mishahara ya mpaka milion 7

Ngorongoro Ajira huwa zinatangazwa saana tu ila askari woa wengi ni zao la jkt na vyuo vya veta pia huku kuna uhaya saana

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom