Huwa wanatangaza, tembelea kule Sekretariati ya ajira utaona. Mimi hapo kwenye hiyo orodha kuna mashirika nilifanya usaili na nilipataga kazi kwenye moja wapo japokuwa sikwenda kuripoti. Ilikuwa kupitia PSRS.Hivi haya mashirika ya umma huwa yanawapataje watumishi wake, au huko kwenye hayo mashirika huwa hakuna watu wanaostaafu au kufa ili nafasi zibaki wazi?maana sijawahi kukutana na matangazo yao ya kazi kabisa
1.NSSF
2.NHIF
3.PSSSF
4.TCRA
5.WCF
6.MSD
7.TPDC
8.TIC
9.NGORONGORO CONSERVATION
10.TFDA
Huwa wanatangaza, tembelea kule Sekretariati ya ajira utaona. Mimi hapo kwenye hiyo orodha kuna mashirika nilifanya usaili na nilipataga kazi kwenye moja wapo japokuwa sikwenda kuripoti. Ilikuwa kupitia PSRS.Hivi haya mashirika ya umma huwa yanawapataje watumishi wake, au huko kwenye hayo mashirika huwa hakuna watu wanaostaafu au kufa ili nafasi zibaki wazi?maana sijawahi kukutana na matangazo yao ya kazi kabisa
1.NSSF
2.NHIF
3.PSSSF
4.TCRA
5.WCF
6.MSD
7.TPDC
8.TIC
9.NGORONGORO CONSERVATION
10.TFDA
TFDA = TMDAHivi haya mashirika ya umma huwa yanawapataje watumishi wake, au huko kwenye hayo mashirika huwa hakuna watu wanaostaafu au kufa ili nafasi zibaki wazi?maana sijawahi kukutana na matangazo yao ya kazi kabisa
1.NSSF
2.NHIF
3.PSSSF
4.TCRA
5.WCF
6.MSD
7.TPDC
8.TIC
9.NGORONGORO CONSERVATION
10.TFDA
Litaje hilo shirika mkuu,mbona unaona uvivu kulitaja?Huwa wanatangaza, tembelea kule Sekretariati ya ajira utaona. Mimi hapo kwenye hiyo orodha kuna mashirika nilifanya usaili na nilipataga kazi kwenye moja wapo japokuwa sikwenda kuripoti. Ilikuwa kupitia PSRS.
Sasa huwa zinatangazwa wapi maana ajira portal haziwekwi na kwenye website za mashirika husika hakuna kitu?Nafikiri mtoa mada ana maanisha kuwa matangazo ya ajira hizo yanatangazwa baada ya wateule kuhakikisha kuwa nafasi zao zimeshapstikana na watoto wao.
Zinazobaki zinawekwa kwenye tovuti.
Ukiwa kule Nampembe huwezi kuona Tangazo la ajira hizo kwenye ofisi za Mtendaji wa Kata au mkurugenzi wa Wilaya kama matangazo ya madereva.[emoji23]
😄😄😄NSSF ndo kabisa! Hawa sijui hua wanatangaza wapi ?
Peleka barua na uzoefu wako wa kazi moja kwa moja hata kama hawajatangaza pale mlangoni kwa mlinzi juu ya bahasha andika kwa gavana bank kuu halafu jieleze humo na kuacha macontacts yako. Huwezi jua japo ni nje ya utaratibuBoT je Nani ameshawahi ona
We ushawahiPeleka barua na uzoefu wako wa kazi moja kwa moja hata kama hawajatangaza pale mlangoni kwa mlinzi juu ya bahasha andika kwa gavana bank kuu halafu jieleze humo na kuacha macontacts yako. Huwezi jua japo ni nje ya utaratibu
Uwoga wako ndio umaskini wako [emoji16]We ushawahi
Nimeshawahi kuona tangazo la kazi MSD kwenye ajiraportal.go.tz mkuuHivi haya mashirika ya umma huwa yanawapataje watumishi wake, au huko kwenye hayo mashirika huwa hakuna watu wanaostaafu au kufa ili nafasi zibaki wazi?maana sijawahi kukutana na matangazo yao ya kazi kabisa
1.NSSF
2.NHIF
3.PSSSF
4.TCRA
5.WCF
6.MSD
7.TPDC
8.TIC
9.NGORONGORO CONSERVATION
10.TFDA
MSD na TFDA huwa wanatoa kipaumbele saana kwa watu waliosomea njeHivi haya mashirika ya umma huwa yanawapataje watumishi wake, au huko kwenye hayo mashirika huwa hakuna watu wanaostaafu au kufa ili nafasi zibaki wazi?maana sijawahi kukutana na matangazo yao ya kazi kabisa
1.NSSF
2.NHIF
3.PSSSF
4.TCRA
5.WCF
6.MSD
7.TPDC
8.TIC
9.NGORONGORO CONSERVATION
10.TFDA
NECTAHivi haya mashirika ya umma huwa yanawapataje watumishi wake, au huko kwenye hayo mashirika huwa hakuna watu wanaostaafu au kufa ili nafasi zibaki wazi?maana sijawahi kukutana na matangazo yao ya kazi kabisa
1.NSSF
2.NHIF
3.PSSSF
4.TCRA
5.WCF
6.MSD
7.TPDC
8.TIC
9.NGORONGORO CONSERVATION
10.TFDA