Sijawahi kuona haya mashirika ya umma yakitangaza kazi

Niliwai kujiuliza sana kuhusu NSSF, uongo mbaya NSSF ajira zao sijawai kuziona, haijulikanagi wanapataje wafanyakazi
RITA na NECTA nikiwahi kuona walioitwa kazini tu ilikuwa ajira portal lkn tangazo lake sikuliona nadhani waliokuwa database hiko kipindi
 
Unapendaga story za TISS kishenzi,hata kama ni sehemu haihusiki lazima tu uchomeke neno TISS.
 
Mbona huwa wanatangaza kwani wewe huwa unaziangalia wapi
 
Unapendaga story za TISS kishenzi,hata kama ni sehemu haihusiki lazima tu uchomeke neno TISS.
Hawanaga sare hawajitambulishi ila nature ya mazingira nayofanyia kazi watumishi wenzangu wamechomwa saana na hawa watu

Dereva story zake 80% lazima sihusiane na mazingira ya kazi yake alkadhalika mwalimu na wanafunzi wake so usishangae ndugu ni kawaida
 
K
Kwakweli kwa mfano hao NSSF, sijawahi kuona tangazo lao la kazi wakitoa hata siku moja.
 
MSD na TCRA mbona wanatangazaga Japo mara chache sana, nakumbuka nliwahi kuomba kazi huko.
 
Mkuu kwasasa kila kitu ni connections binafsi sijawahi ona matangazo hayo ila watu wanaajiriwa kimya kimya
 


Interview za TMDA:


December 2015: Drug Registration Officers watano, wote wamesoma bongo.


Novemba 2017, Drug Registration Officers wanne, wawili wamesoma nje wawili bongo.

Januari 2019, Drug Registration Officers wawili, mmoja kasoma bongo mwingine nje.

July 2019, Drug Registration Officers wawili, wote wamesoma bongo.

Hii ni kwa kada hiyo ambayo kuna mshkaji wangu yuko pale kanipa data. Mbona inakataa theory yako ya kua wanaprefer waliosoma nje?
 


Sisi wasaka ajira hua tunaziona sana itakua hupiti huko PSRS sana.
 
Utakua unafanya kazi Mamlaka ya bandari, ndiyo kuna hao jamaa kwa wingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Peleka barua na uzoefu wako wa kazi moja kwa moja hata kama hawajatangaza pale mlangoni kwa mlinzi juu ya bahasha andika kwa gavana bank kuu halafu jieleze humo na kuacha macontacts yako. Huwezi jua japo ni nje ya utaratibu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
TMDA wanatangaza ajira Mimi pia nimuongoni mwa waliomba ajira kupitia PSRP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…