Sijawahi kuona Mkutano Mkuu CCM( NEC) uliofeli kama huu

Chawa mkuu kazini. Huna wa kuficha mambi yaliyokiwa wazi vile
 
KWA kauli hizo ni dhahiri wenye nchi watasema mmepoteza mvuto inahitajika nembo mpya!
Huenda ndio ikawa maana ya Labda mambo yakiwa mabaya sana?? Maana kutia ile walakini inaqeza kuwa kama kamtego fulani kwamba utakapoona mambo yamebadilika ni kwa sababu mambo hayakwenda vjzuri
 

Muongo ‘ mzushi mkubwa
 
Morocco out Morocco out Morocco out Morocco out Morocco out
Yatoke tuuu
 
Wachawi bwana; siku zote mpo kwa ajili ya kutamani mavurugano, magonjwa, njaa, vifo n.k. dhidi ya watu waliofanikiwa/jirani zenu. Poleni sana na ngoja nikae kimya tu!
 
"Labda hapo katikati mambo yaharibike"
 
Mleta hoja umewahi kushuhudia kifo cha punda? Basi ni hivi, anapokata roho punda huwa anarusha mateke hovyo hakuna mchezo.
Sasa dalili za kifo cha CCM ndio hizo kama za punda, wanarusha mateke hovyo na kuumizana wenyewe na wasipoangalia watauana wenyewe.
Dawa ni kukaa mbali nao ili mateke ya kifo chake yasiue wengine

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Ukiweza utusaidie wenzako kutupa highlights za makosa.
 

Mleta uzi anaonekana ni mtu mwenye uwezo mzuri wa kuchambua mambo, ila we ni aina ya kundi kubwa la wajinga waliojaa ndani ya CCM sasa. Wajinga walianza taratibu kipindi cha pili cha JK CCM ilipoanza kupoteza ushawishi rasmi kwa kizazi hiki. Na wakaongezeka maradufu wakati wa Magufuli. Kwa sasa tunashudia matokeo ya ujinga ulioota mizizi ndani ya CCM. Ww ni mfano halisi ya wajinga hao.
 
Ile kura moja iliniwazisha sana. Mawazo yangu ya kijinga yakaniambia haikuwa moja. Ilitangazwa kimkakati ili kulivuruga kundi pinzani. Kila aliyepinga atakuwa anahisi ni yeye tu hakusaliti lakini kasalitiwa na wenzake.

CCM kwa sasa imetoka kwenye utaratibu wa kuheshimu kura, kiasi kwamba kwao kura ni jambo la fashion tu. Kiongozi pamoja na kundi lake kwa sasa wanapanga Kiwango cha kura wazitakazo. Tabia hii ya kutoheshimu kura ni lazima itazua uasi.
 
Mikutano yote huwa iko vile, sema faida uliyoipata wewe huu Mkutano uliuona Mubashara

Ungeuona Mkutano ambao Lowassa alisimama akamwuliza Kikwete amweleze kwanini alimpakazia Richmond sijui ungesemaje!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…