Sijawahi kuona Mkutano Mkuu CCM( NEC) uliofeli kama huu

Mikutano yote huwa iko vile, sema faida uliyoipata wewe huu Mkutano uliuona Mubashara

Ungeuona Mkutano ambao Lowassa alisimama akamwuliza Kikwete amweleze kwanini alimpakazia Richmond sijui ungesemaje!
Mikutano yoote abcd huwa zinatufikia
 
CCM kwa sasa imetoka kwenye utaratibu wa kuheshimu kura, kiasi kwamba kwao kura ni jambo la fashion tu. Kiongozi pamoja na kundi lake kwa sasa wanapanga Kiwango cha kura wazitakazo. Tabia hii ya kutoheshimu kura ni lazima itazua uasi.
Yeah ni hatari sana. Kutoheshinu Ballot Box na Mapenzi ya wananchi haina tofauti na Mapinduzi
 
Mbona unabadilisha ujumbe wangu!!??
kwenye original comment yangu nimeandika hv
"Labda kama mambo yakiharibika saana"
heshimuni ujumbe wa mtu anapoandika.
Hahahaa sawa, tuna heshumu mawazo yako
 
Hata mimi kada nimefadhaishwa na hali ya mkutano ule kukosa dira.
Kitendo cha kuwaweka mbele watu wasio na akili kama Yusufu Makamba kimenikera kwa kweli.
 
Umepost thread saa 4 usiku, now ni saa SITA na nusu replies ni 4 tu.

Hujastuka tu kujua kuwa huna impact yoyote?
 
Hata mimi kada nimefadhaishwa na hali ya mkutano ule kukosa dira.
Kitendo cha kuwaweka mbele watu wasio na akili kama Yusufu Makamba kimenikera kwa kweli.
Kuwa kada wa chama hicho ni sawa na kusimama hadharani ukajipiga kifuani mara kadhaa na kukiri huna......!!!!!
 
Umepost thread saa 4 usiku, now ni saa SITA na nusu replies ni 4 tu.

Hujastuka tu kujua kuwa huna impact yoyote?
Jamaa ana moyo sana na post zake zisizo na mbele wala nyuma.
 
Kuna wana ccm wanalalamika kuwa idadi ya wa NEC Tanganyika Kuwa sawa Zanzibar sio sahihi hasa kuangalia idadi ya watu na uwakilishi kwa uwiano
 
Kuna wana ccm wanalalamika kuwa idadi ya wa NEC Tanganyika Kuwa sawa Zanzibar sio sahihi hasa kuangalia idadi ya watu na uwakilishi kwa uwiano
Tanzania kila kitu kinafanyika kutokana na mapenzi ya Rais aliyeko madarakani. Akiamua wazanzibara 40 vs watanganyika 20 hakuna atakayekohoa.
 
Sasa kulikuwa na sababu gani ya Kikwete na Makamba kuongea yale maneno....!!? Naamini Maza bado naamini kuwa kuna watu ndani ya CCM wanamtesa Maza na 2025....!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…