Sijawahi kuona Mkutano Mkuu CCM( NEC) uliofeli kama huu

Chama chetu kinaendekeza vijembe, kejeli, masimango, majigambo, na vigelegele badala ya mipango na mikakati
 
Huoni/husikii kauli zinazokinzana mitaani zilizozalishwa na mkutano huo!?
 
Mwambie Lema au Heche aende kinyume na Mbowe afu muone Moto.
 
Kauli za aliyewahi kufa ni mkosefu unaona ni za kujenga? Au zina ukweli wowote?
Ndio Gwajima si kajibu kasema Wakristo hamuogopi kufa,kufa Ni ushujaa Sasa manake kumbe hakuna ubaya..

Mwisho yule jamaa alivyokuwa na roho mbaya na kuwatenda wenzie ulitaka wasiteme nyongo?

Kumbe inawauma si ndio? Hivyo hivyo ndivyo na wengine waliumia,ukiacha ukatili wake alikuwa anadhalilisha wenzie watu wazima nakuwaita wapumbavu hadharani..

Ashukuru amekufa bila kusikia hqya.
 
Mkutano ulijaa masutano na umedhihirisha wazi hali si shwari ndani ya CCM.

ukiona mpaka Mwenyekiti anaelekezwa cha kufanya ujue ni hatari.

unapomwambia mkiti asisikilize porojo ina maana ni msikiliza porojo hahhahhahhahhah raha sana yani upinzani wangejipanga vizuri 2025 njia nyeupe sana CCM wameshafeli.
 
Mimi siyo mfuasi wa huyo unayemsema. Lakini vile vile usisahau aliyekufa si peke yake
 
Km mliamishwa mawazo ya kuanguka ndege mkaletewa shujaa majaliwa mkashindwa kuoji vtu vya maana wote mkaka kumsifia majaliwa na hata ripoti ilipo toka ya kumkataa majaliwa bado mmeendelea kumngangania
Nazan watanzania weng hatujielewi na ata ili suala la makamba yaweza kua ni mbinu za kuficha maovu meng yanayoendelea kwa sasa
Watu kla kona makamba makamba wakat 2025 Ccm ni ile ile na mgombea wa uraisi kwa CCm hajawai tokea kubadilika uyo mama ni ad 2030
Sana sana mnachezewa akili wajinga bas na chadema na Sukuma gang wamefanya ni hoja wakat sio hoja
 
"Ujinga ulioota mizizi ndani ya CCM" nimeipenda hii statement, naweza kusema hii ndio ya kufungia mwaka.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…