Sijawahi kuona Mkutano Mkuu CCM( NEC) uliofeli kama huu

Hiyo Ni Sacco's ya waganga njaa sii chama ndio maana anaewaamulia Ni tajiri Mbowe,keshalambishwa asali hamna Cha kufanya atakachowaamulia ndicho mtafuata.

Uko sahihi sana anayefanya maamuzi huko CDM ni Mbowe na hakuna wa kubisha. Je huko CCM kuna anayeweza kupinga atakacho mwenyekiti ili tujue chama sio chake?
 
Ndio wapo wanaopinga wengi tuu ndio maana ulimeikia JK aliwaambia wanachama hawazuii Kugombea Ila waheshimu kautaratibu kao.
 
Polepole alisema hao ni wahuni tu, si umesikia kauli za mzee mhuni muonja asali, huyu ni kibaraka na mwakilishi wa wahuni aliowasema Polepole, CCM inarudi kule ilikokuwa kabla ya Magu, kuzomewa hata ukivaa shati la kijani hata kama ni la mtumba.
 
Uko sahihi sana anayefanya maamuzi huko CDM ni Mbowe na hakuna wa kubisha. Je huko CCM kuna anayeweza kupinga atakacho mwenyekiti ili tujue chama sio chake?
Mkuu huko CCM si mwenye kigoda ndio ana maamuzi wenye maamuzi ni walamba asali, mwenye kigoda anaambiwa tu la kufanya.
 
Ccm imebaki inaendesha mikutano ya ndani yenye vitisho vikali mno.

Cha ajabu zaidi ni pale wanapotishana wao kwao na kutukanana wazi wazi.
Kimsingi waliitishaa kikao ili kumchamba "marehemu"
 
Polepole alisema hao ni wahuni tu, si umesikia kauli za mzee mhuni muonja asali, huyu ni kibaraka na mwakilishi wa wahuni aliowasema Polepole, CCM inarudi kule ilikokuwa kabla ya Magu, kuzomewa hata ukivaa shati la kijani hata kama ni la mtumba.
Hoja imeungwa mkono
 
Uko sahihi sana anayefanya maamuzi huko CDM ni Mbowe na hakuna wa kubisha. Je huko CCM kuna anayeweza kupinga atakacho mwenyekiti ili tujue chama sio chake?
🤣🤣🤣
 
Kwani ccm nje kutawal nchi kimabavu ilishawahi kuwa na hadhi yoyote?
Polepole alisema hao ni wahuni tu, si umesikia kauli za mzee mhuni muonja asali, huyu ni kibaraka na mwakilishi wa wahuni aliowasema Polepole, CCM inarudi kule ilikokuwa kabla ya Magu, kuzomewa hata ukivaa shati la kijani hata kama ni la mtumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…