Sijawahi kuona mkutano wa Rais na wahudhuriaji wa jinsia moja tu

Tangu uhuru mais wote kabla ya mama Samia walikuwa wanaume, lakini sijawahi kusikia Rais kaitisha mkutano wa wanaume tu...
Hoja ya rais kulazimisha wanawake kujiona sawa na wanaume kimsingi ni kumkosoa Mungu alietuumba kwa maumbile tofauti. Kisayansi na ata kidini,huu utofauti wetu kimaumbile ndio unaofanya tutofautiane KIAKILI NA MAJUKUMU.

Daima mwanaume ataendelea kuwa mtawala ktk familia na ata ktk jamii,and this operates globally. Huyu mama kawa rais accidentally tu na waliomfikisha hapo ni wanaume.
 
Pamoja na wanaume kumiliki kila kitu wanakufa mapema kuliko wanawake.
Kwa nini wanaume wafe mapema ni biological factors au social factors au both?
Kwangu mimi nionavyo social factorrs ni kiini zaidi.
So pamoja na hawa wanawake kujadili shida zao wasisahau hili kwa sababu wajue kuna siku watabaki wajane. Hii yaweza kuwa tatizo zaidi kuliko 50/50 wanaayopigania!
 
Hata marekani, ulaya na uchina hakuna 50/50, unadhani wajinga?
 
point
 
Dunia yote itakapofikia 50/50 kama wanavokusudia ndipo shida itazidi duniani.
Wakati tunapigania 50/50
Ni lazima kwanza tuzitambue shida zinaazowakabili wanaume ambazo pia zina madhara kwa wanawake.
Mfano ni mwanamme anayeshindwa kucheza vizuri mpira nyumbani lakini anacheza vizuri sana uchochoroni.
 
Katika mada mbovu inayotrend muda wote ni hii ya usawa wa jinsia. Unafanya vijana wenye vipaji vyao kama diamond asioe , Zamani nilwalaumu kwa nini hawaoi wakatulia na mke mmoja. Lakini sasa fikiria mwanaume anazalisha mali labda tshs bilioni 5 ndani ya miaka mitano. Muda wote huo mke wake anakuwa nyumbani si ajabu na mahawara zake kijana anapiga shoo usiku wake na mchana ni wake.

Ngoja watofautiane waachane , hapo mwanamke eti sheria inasema alikuwa akimpikia kwa hiyo wamechuma mali pamoja. Dawa ni kuzalisha wanawake tofauti unatoa matunzo huko huko. Halafu mali urithi unaandika ni mama mzazi wako wewe unaehangaika , na taifa halitambui michango yenu inavyozidiana . HONGERA Platinumz una akili sana kwa za urothi ukuandika ni wa watoto wanawake wengine ni wajinga ,anaweza kukutanguliza kaburini abaki anafaidi mali yako kisa alikuhudumia kila kitu.

Ndio maana sikuza karibuni mataifa yaliyoendelea kama Marekani mnaweza kufunga ndoa yenye makubaliano maalum ili mkiachana msigawane mali ambazo mumechuma pamoja. Unaweza ukamjengea nyumba,unampa dola milioni kimi ,na marupurupu mengine almradi msigawane mali sawa ila hakikisha mkiachana haadhiriki.

Hivi zuckerbug wa facebook akigawana sawa na mke wake si hasara kubwa kwa mwanaume? Alijikunja hapati usingizi maabara na darasani halafu mke anakuwa equal share holder kiulaini tu? Hii sheria inastahikli kuangaliwa upya.
 
Mama si muislamu anasahau alah ameagiza nini kwa hawa watu
 
Hahaha mkuu, usawa wa hawa watu sio huo unaouongelea wewe. Wanataka usawa kwenye kupata kazi, kurithi mali na usawa wa kufanya maamuzi.

Ila ukiwauliza kwenye kuhudumia familia na kutafuta pesa, wanakwambia ni ya mwanaume wao wabaki usawa kwenye matumizi tu [emoji38][emoji38]

Wanataka usawa kwamba na wao wawe wanarudi nyumbani muda wanaotaka. Wawe wanapewa nafasi za uongozi na wawe wanahudumiwa.

Ila sio wa kumwambia na yeye atoke nje akatafute, hapo nadhani hawapaonagi, na hawapatakagi.
 
Eti Jackline Ntubayabalie nae ghafla kawa bilionea kisa kaolewa.
 
Ukiwauliza ni kwanini mwanaume atoe mahari wakati wa kuoana hawana jibu. Wanasahau kuwa hata mtoto wa kiume amezaliwa na kutunzwa, wanasahau kama mume anakwenda kumtunza mtoto wao, wanasahau kuwa kutoa mahari ni njia ya kumilikishwa mtoto wao.
 
Ukiwauliza ni kwanini mwanaume atoe mahari wakati wa kuoana hawana jibu. Wanasahau kuwa hata mtoto wa kike amezaliwa na kutunzwa, wanasahau kama mume anakwenda kumtunza mtoto wao, wanasahau kuwa kutoa mahari ni njia ya kumilikishwa mtoto wao.
Unamenyeka kazini ili yeye apendeze na ashibe.

Wa kudai usawa nani?
 
Mwanamke lake jiko tu, mwendazake alikuwa laana tangu uteuzi wa mgombea mwenza…. tushaingia cha kike tuvumilie mipasho.
 
Ukweli ni kwamba, Jumong hatoshi…. zingine zote porojo na kuzunguka tu.
 
Umeongea maneno mazito sana hadi nimetokwa na kauchozi ka kuelewa ulichosema.

Aisee ntarudi tena kwako.
 
Kweli kabisa. Me siwaeleweki kabisa nowadays ajenda zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…