Sijawahi kuona mkutano wa Rais na wahudhuriaji wa jinsia moja tu

Una chuki binafsi.
Aidha, umepitwa na wakati kwa maana habari ya wanaume kuwa juu ya wanawake ni ya kale sana; kama hatuko sawa asilimia kubwa ya wanaume wanaonewa na wanawake.
Nadhani haujamuelewa mleta mada alicholenga kulalamikia. Sidhani kama kuna sehemu amesema anaunga mkono wanawake kunyanyaswa.
 
Hapa ndipo asili ya mwanaume inapokuja kudhihirika kuwa yy ni tofauti sana na mwanamke. Kumlinganisha ni kuprove the impossible kuwa possible.
 
Kaka wanawake na wanaume unataka wawe sawa?? Haiwwzekani, kama vyoo tu vipo vya ke na me itakua hayo mengine...! Kuna siku ya wanawake na hamna siku ya wanaume..! Let them enjoy priority..!!
 
Wanaume 80% of their earnings huwa zinakwenda kwa wake/mama watoto na watoto wao. Wangetumia 100% ya earnings zao kujihudumia na kufanya bata wanaume wengi wangekuwa mamilionea .
 
Hata marekani, ulaya na uchina hakuna 50/50, unadhani wajinga?
50% 50%.....ni sera ambayo hata huko mataifa ya magharibi na Asia wameona imezaa matatizo mengi ya kijamii kuliko mafanikio.

Nadhani ni swala la muda tu ukweli utajitenga na hizi propaganda za usawa wa kijinsia kutoka magharibi.
 
Kujaza wanawake kwenye nafasi za kimaamuzi na kwenye ajira kunaenda kudidimiza maendeleo ya kiuchumi ya taifa na dunia kiujumla, maana mwanamke hajaumbwa afanye kazi wala atoe maamuzi dhidi ya wanaume. Ndo maana makazini unakuta wanawake ni kuonyesha mavazi, nywele, kucha na kujipitisha huku na kule wapate upendeleo, matokeo yake output ya kazi haionekani na taasisi zinazidi kulaumiwa kwa kukosa ufanisi...
 
Sio Mbaya kwa Rais kuzungumza na makundi tofauti hususan ambayo anaona hayapewi fair ground...

Hapa Key word ni Fair na mimi am all for fairness ila sio favourtism..., kila anayefaa na apewe nafasi kulingana na uwezo na sio sababu ya jinsia yake..., yaani haya mambo ya 50 kwa 50 kwahio kama tuna wanawake wanaoweza 70 wale 20 waachwe ili tu namba itimie ? By the way wanufaika ni wengi waliopo mijini wapiga kelele wakati wale wa vijijini wanaendelea kunyanyasika kwenye mambo basic,,
 
Kinachoendelea kwa sasa ni kisasi cha akina mama kuwapa watoto wa kike sumu za kuwachukia watoto wa kiume na kuishi nao kwa uadui ikiwa kama namna yao ya kudeal na historia za kimanyanyaso walizopitia wao. Ila cha ajabu wanaoharibikiwa na mabinti zao watoto wa kiume wameumbwa kusurvive bila msaada wowote kutoka katika serikali au jamii.
 
Ndo maana ndoa nyingi zinavunjika at an early stage kutokana na hawa mama wakwe kuendelea kuwalisha sumu watoto wao wa kike walioolewa, sasa haya madudu wanataka wayashinikize kwenye utendaji wa serikali na nchi kiujumla...
 
Mama nakusubiri kwenye daftar LA .......
..... Mana umeanza bpronga mapema mnooo[emoji24][emoji24][emoji24]
 
Toka waliporudi kule Beijing china wakasema wanapambana na "mfumo dume" hawaoni kwamba wameingizwa mtego wa wakoloni wa "divide and rule" tulidhani tumeondokana na ukabila kumbe tunurudisha kuanzia huu mpya "mfumo jike".

Nchi isiyoheshimu misingi ya haki, utawala wa demokrasia na haki sawa kwa vyama vya siasa, wakati huohuo chama tawala kinatumia vyombo vya Dola kama silaha dhidi ya upinzani hii vita ya mfumo dume si kitu kingine bali ni kuwatumia wahusika kujihalalisha kisiasa.

Sent from my G80 using JamiiForums mobile app
 

Topic ya kijinga sana. Siku ya wanawake wazazi Duniani unataka uone wanaume wamejaa. Tatizo hapa ni wewe😂. Hizi zama ni mpya ni wakati wa mageuzi na haki kwa wanawawe. Dunia nzima wanawake wana mwamko mpya na hii ni nzuri kwa maendeleo maana ni zaidi hata ya wanaume kwa jinsia
 
Ndo maana ndoa nyingi zinavunjika at an early stage kutokana na hawa mama wakwe kuendelea kuwalisha sumu watoto wao wa kike walioolewa, sasa haya madudu wanataka wayashinikize kwenye utendaji wa serikali na nchi kiujumla...
Unakuta binti wa miaka 19 au 20 ana hasira za mwanamke wa miaka 30 au 45 juu ya mahusiano na wanaume . Sasa unajiuliza amepitia mahusiano ya ndoa lini. Then unagundua kuna mwanamke mtu mzima mwenye maumivu alimjaza ujinga na kuharibu akili yake.
 

Your browser is not able to display this video.
 
dawa ni kutokiowa tu,,na ingewezekana wanaume wto tungegoma hata mwaka mzima kutongoza na kutowafanya wanawake iwe kitaa na majumbani,,hapa ote walioowa na wasio na wake ote tugome,,,wataona moto..
Mkuu tukigoma kuna wapuuzi watatusaliti watawala wake zetu ili kutukomoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…