Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
LifalaJuha hili demu
Inavunja moyoDuuuh! Aisee
Upumbavu wa hali ya juuKasema ukweli ndoa kwa baadhi ya wanawake ni sehemu kurahisisha maisha hasa kwanini asome kwa bidii.
Kasema ukweli wake, mlitaka adanganye?
Sasa kama mjinga kweli atajuaje huo ni ujinga mkuu?Kuna muda ni muhimu kuficha ujinga wako mbele za watu mkuu
Kwa kweli but mbona ni kama utani tu MkuuInavunja moyo
Kumbe hata hujasikiliza mpaka mwisho ila upo kubwatuka tuHapo juha ni huyo muoaji mwanaume mwenzetu. Anyaways,nillmeishia hapo kwenye "nina watoto wawili"
Umetumia nguvu kubwa sana kwenye mambo madogo mno dada angu.Kumbe hata hujasikiliza mpaka mwisho ila upo kubwatuka tu
Kaishi nae kwa miaka 12 toka wapo chuo na kazaa nae watoto 2, kwenye harakati za kutafuta elimu yao mumewe alimwambia asijiumize sana na kusoma sababu ipo siku atamuoa.......na kweli kamuoa
Mko na mastress yenu ya kuachwa lazima mchanganyikiwe, wajinga wakubwa