Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
- Thread starter
- #41
Noma sanaKaongea vizuri na ni utani mzuri wa kufanya tukio liwe zuri
Japo alimwambia asisome atamuoa lakini anaonesha kufika hadi chuo na nadhani alihitimu vizuri hii inaonesha yote yalikuwa utani
Anyway wamependeza na hope watakuwa na maisha mazuri huko mbeleni
Mda mfupi nimeshuhudia ugomvi wa jirani yangu na mke wake sio poa (jamaa ana wake wawili ambapo mdogo anadai hatendewi haki,anapunjwa)🖐️😂😂