Sijawahi kuona Mtoto mjinga hivi

Sijawahi kuona Mtoto mjinga hivi

Kasema ukweli wake, mlitaka adanganye?
Huko vyooni kuishi pamoja kwa vijana ni Jambo la kawaida siku hizi kwasababu ya ugumu wa maisha! Wakimaliza chuo sio lazima waoane ; huyu bahati yake Kaolewa.
 
Demu wa ardhi huyo, 2015-2019 Qs yeye , Qs Goodluck godfrey, walianza kupendana toka chuo hao. Kamzalisha watoto wawili, alafu ndio kwanza 30 years of age hao, acha watambe. Ulitaka waongee nini hao. Wape hongera 12 years unasubiri ndoa na mtu anakuzalisha si mchezo. Wape kongole.
Haya hakusoma ila ana degree tayari tena nzuri kabisa. Angesoma ingekuaje unadhani?
Huyo dogo wa kiume dodoma alwatan kweli, pesa ipo hapo, old money. Na kaweza kuzitunza.
Anaduka palm mikocheni pale esperanza alianza kama masikhara kuuza nguo vyuoni.
It's time kuongea ujinga wote wa nyuma ukifika peak nzuri.
 
Kwahio jamaa kao single mother au aliishi nae kuzaa nae pasipo ndoa?

Jamaa jinga na linao mwanamke mpumbavu, hayupo jamaa atatombewa sana, pasipo hata kuyumba kiuchumi huyu sio mwanamke ataliwa sana papuchi
 
Kumbe hata hujasikiliza mpaka mwisho ila upo kubwatuka tu

Kaishi nae kwa miaka 12 toka wapo chuo na kazaa nae watoto 2, kwenye harakati za kutafuta elimu yao mumewe alimwambia asijiumize sana na kusoma sababu ipo siku atamuoa.......na kweli kamuoa

Mko na mastress yenu ya kuachwa lazima mchanganyikiwe, mnaona wanaume wote wataachwa km mlivyoachwa kwa aibu na majeraha, sio wanawake wote ni wajinga kama wa kwenu, wajinga wakubwa
Duuh hasira za nini mwenye shida ni wewe vidole vyako vimeongea pole sana mrudie Mungu akusamehe
 
Kaongea vizuri na ni utani mzuri wa kufanya tukio liwe zuri
Japo alimwambia asisome atamuoa lakini anaonesha kufika hadi chuo na nadhani alihitimu vizuri hii inaonesha yote yalikuwa utani
Anyway wamependeza na hope watakuwa na maisha mazuri huko mbeleni
Mda mfupi nimeshuhudia ugomvi wa jirani yangu na mke wake sio poa (jamaa ana wake wawili ambapo mdogo anadai hatendewi haki,anapunjwa)🖐️😂😂
Kuna kitu hujaelewa alimwambia ASISOME CHUO, kwahiyo huyu dada atakuwa na GPA ya 1.9, ASISOME ule msuli pepa ule ambao unapiga msuli mpaka unachanganyikiwa. Angalia video tenaa...
 
Huko vyooni kuishi pamoja kwa vijana ni Jambo la kawaida siku hizi kwasababu ya ugumu wa maisha! Wakimaliza chuo sio lazima waoane ; huyu bahati yake Kaolewa.
Ni maisha yao, as long as wamefikia umri wa maamuzi wataamua wenyewe.

Kuna watu hawana ndoa wanadumu kuwa pamoja, na kuna watu wanafanya ndoa na hawadumu.

Mambo haya hayana formula.
 
Back
Top Bottom