Sijawahi kuona Mtoto mjinga hivi

Noma sana
 
Mwanamke asipwe jukwaa la kuzungumza , ikibidi sana aishie kutoa salam tu.
 
Anaeleza ujinga wake mbele ya wazazi na watu wanaoheshimiana nao
Angalia kwenye video. Kama mzazi nimeumia sana
Mwanamke anathibitisha kuwa uchi wake umetumika miaka 12 ndio wakasajili hiyo ndoa serikalini but before was traditional marriage, watalaamu wa mambo tunasema hii sio harusi ya ndoa bali ni 12 years Annivessary ya wakurungwa.
 
Kasema ukweli wake, mlitaka adanganye?
Haha hapana sisi hatukutaka adanganye, ila ndio hivyo tena tushaliona lipumbavu na sio sisi tu hata wazazi wake hapo wanasikitika wanaona daaaa hili toto kimeo kweli.
 
Waacheni msiwasanue wabakie kuwa mananga. Kwanza wanatuharibia jamii.

Hiyo jitihada ya mtoto wa kike inatakiwa irudi nyuma hadi igote.
 
Kwa mara ya kwanza umeandika kitu cha maana.
Kongole na uendelee hivi.
 
Sasa umeumia nini?. Mbona kawaida tu?. Ndio tukio la kukuhangaisha hili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…