Sijawahi kuona Mtoto mjinga hivi

Kasema ukweli wake, mlitaka adanganye?
Huko vyooni kuishi pamoja kwa vijana ni Jambo la kawaida siku hizi kwasababu ya ugumu wa maisha! Wakimaliza chuo sio lazima waoane ; huyu bahati yake Kaolewa.
 
Demu wa ardhi huyo, 2015-2019 Qs yeye , Qs Goodluck godfrey, walianza kupendana toka chuo hao. Kamzalisha watoto wawili, alafu ndio kwanza 30 years of age hao, acha watambe. Ulitaka waongee nini hao. Wape hongera 12 years unasubiri ndoa na mtu anakuzalisha si mchezo. Wape kongole.
Haya hakusoma ila ana degree tayari tena nzuri kabisa. Angesoma ingekuaje unadhani?
Huyo dogo wa kiume dodoma alwatan kweli, pesa ipo hapo, old money. Na kaweza kuzitunza.
Anaduka palm mikocheni pale esperanza alianza kama masikhara kuuza nguo vyuoni.
It's time kuongea ujinga wote wa nyuma ukifika peak nzuri.
 
Kwahio jamaa kao single mother au aliishi nae kuzaa nae pasipo ndoa?

Jamaa jinga na linao mwanamke mpumbavu, hayupo jamaa atatombewa sana, pasipo hata kuyumba kiuchumi huyu sio mwanamke ataliwa sana papuchi
 
Duuh hasira za nini mwenye shida ni wewe vidole vyako vimeongea pole sana mrudie Mungu akusamehe
 
Kuna kitu hujaelewa alimwambia ASISOME CHUO, kwahiyo huyu dada atakuwa na GPA ya 1.9, ASISOME ule msuli pepa ule ambao unapiga msuli mpaka unachanganyikiwa. Angalia video tenaa...
 
Ndio mentality za wanawake tunaowapenda πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜ƒ kazi ipoo
 
Sema kuna vitu ni siri za kufa nazo hazipaswi kuwekwa hadharani.
 
Huko vyooni kuishi pamoja kwa vijana ni Jambo la kawaida siku hizi kwasababu ya ugumu wa maisha! Wakimaliza chuo sio lazima waoane ; huyu bahati yake Kaolewa.
Ni maisha yao, as long as wamefikia umri wa maamuzi wataamua wenyewe.

Kuna watu hawana ndoa wanadumu kuwa pamoja, na kuna watu wanafanya ndoa na hawadumu.

Mambo haya hayana formula.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…