Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 13,538
- 21,664
Mleta mada tembea uyaone acha kujifungia sehemu Moja
Pole sana kwa kuumiaHivi kumbe una mshepu halafu jamaa bado anakuzingua? Aisee roho imeniuma sana!
Asante sanaPole sana kwa kuumia
Mwanamke mwenye Adabu na Heshima, anaekubali kutawaliwa na mume wake, asie na maneno mengi, hu-make point na kunyamaza ! Anaemsikiliza mume na kutii, mshauri mzuri wa masuala ya familia, mpenda maendeleo, asie na tamaa ya fedha ! Anaejituma hasa akipewa kitu cha kusimamia, mbunifu, asie mlevi/ kunywa pombe sana ! Mwenye kiasi na marafiki zake, kipaumbele chake kikubwa ni familia yake, anaebalance mahusiano yake na mume wake na wakwe pande zote.. Mlezi mzuri wa watoto kama mkipewa na Mungu, yani mambo ni mengi ! Vp una vigezo vingapi apo 😂😂Hivi mnavyozungumzia mwanamke mwenye akili na anayejitambua huwa mnamaanisha nini?,.
I mean akili na kujitambua hua mnalenga kwenye vitu gani
Sina hata kimoja na matako pia sina looh!😂😂😂😂Mwanamke mwenye Adabu na Heshima, anaekubali kutawaliwa na mume wake, asie na maneno mengi, hu-make point na kunyamaza ! Anaemsikiliza mume na kutii, mshauri mzuri wa masuala ya familia, mpenda maendeleo, asie na tamaa ya fedha ! Anaejituma hasa akipewa kitu cha kusimamia, mbunifu, asie mlevi/ kunywa pombe sana ! Mwenye kiasi na marafiki zake, kipaumbele chake kikubwa ni familia yake, anaebalance mahusiano yake na mume wake na wakwe pande zote.. Mlezi mzuri wa watoto kama mkipewa na Mungu, yani mambo ni mengi ! Vp una vigezo vingapi apo 😂😂
😂😂😂😂 sasa silaha yako ni nn ?Sina hata kimoja na matako pia sina looh!😂😂😂😂