Sijawahi kuona mwanaume ameoa mwanamke mwenye makalio makubwa.

Hivi mnavyozungumzia mwanamke mwenye akili na anayejitambua huwa mnamaanisha nini?,.
I mean akili na kujitambua hua mnalenga kwenye vitu gani
Mwanamke mwenye Adabu na Heshima, anaekubali kutawaliwa na mume wake, asie na maneno mengi, hu-make point na kunyamaza ! Anaemsikiliza mume na kutii, mshauri mzuri wa masuala ya familia, mpenda maendeleo, asie na tamaa ya fedha ! Anaejituma hasa akipewa kitu cha kusimamia, mbunifu, asie mlevi/ kunywa pombe sana ! Mwenye kiasi na marafiki zake, kipaumbele chake kikubwa ni familia yake, anaebalance mahusiano yake na mume wake na wakwe pande zote.. Mlezi mzuri wa watoto kama mkipewa na Mungu, yani mambo ni mengi ! Vp una vigezo vingapi apo πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sina hata kimoja na matako pia sina looh!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…