Sijawahi kuona promosheni ya safari lager hii bia ni big brand inajiuza bila kutegemea promo

Sijawahi kuona promosheni ya safari lager hii bia ni big brand inajiuza bila kutegemea promo

Zamani yalikuwepo matangazo sikuhizi sijaona.... Hata hivyo chema chajiuza
 
Bia ya zamani sana hio ilikuwa na matangazo kibao ila wimbo wao wa safari ni safari ulikua mzuri sana.

Safari ni safari iwe kwa miguu ama kwa gari safari ni safari

Iwe mchana au usiku, kiangazi au masika safari ni safari

Safari lager asili yake Tanzania
 
Hayo ma castle lite serengeti lite kinachowasaidia ni promosheni utakuta unaambiwa elfu 10 bia nane
Safari haitegemei promo wala kushusja bei ni big brand
Tunaiita chuma chakavu
 
Kwa taarifa yako, juice kama haijatengenezwa nyumbani (za kiwandani) hiyo ni sumu kali kuliko bia.
Siyo ya kiwandani tu hata ya nyumbani ni sumu pia kama mtu atakuwa anagida glass kadhaa kisa ni natural na wengi huwa tunajidanganya hapa na matokeo yake uzito wa kupitiliza, kisukari etc
 
Umeruka mistari

Baiskeli au daladala safari ni safari,

Kilikuwa bonge la promo,

Serengeti Serengeti enzi hizo chui lager! Hakuna lite
Bia ya zamani sana hio ilikua na matangazo kibao ila wimbo wao wa safari ni safari ulikua mzuri sana.

Safari ni safari iwe kwa miguu ama kwa gari safari ni safari

iwe mchana au usiku, kiangazi au masika safari ni safari

Safari lager asili yake Tanzania
 
Back
Top Bottom