Kila kona anapigwa spana. Sijui hakujiandaa kuwa Rais alishtukia amekuwa Rais hivyo hakujua anachofanya ofisini kabisa. Yeye kila aliyekuwa anaonesha ana mawazo positive ya kumzidi yeye basi alikuwa ni adui na anawindwa ama kuuawa ama kufilisiwa ndo mana akina Lowasaa wakaona warudishe majeshi tu CCM kuogopa kufanywa lolote.
Juzi Tundu Lissu kaenda kumuona nurse aliyetimuliwa kisa kuokoa uhai wa Lissu wakati haikuwa lengu Lissu aishi.
Jana Makonda alikuwa na mkutano Arusha wafanyabiashara wakadai walinyanganywa pesa hivyo wanamshukuru mama kuwarudishia pesa zao.
Yaani sijui hii nchi ilipatwa na nini aise. Tuliufyata wote mana yule bwana kuua nchi nzima abaki peke yake halikuwa issue kwake.