ashomile
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 2,739
- 2,697
Kajipime kwanza , hakuna Raisi aliyekuwa mwema kama mwendazake na hatapata kutokea daima ktk nchi yetu , watu waliishi kwa kuheshimiana na kujaliana, leo hii yako wapi , sema wewe ni mwizi na mtu asiyependa haki na usawa , kuna sehemu ulishikwa , hivi kuna ndugu yako alipotea au kuuwawa kipindi chake ?
Usikae sehemu kuwajaza watu upumbavu uliokujaa kichwani mwako , kumpata mtu sahihi tena kama mwedazake ni ngumu sana , kazi aliiweza na hatakuja kutokea mwingine kama yeye labda hao kina MAKONDA ,na MAJALIWA huwenda mmoja aao akikamata madaraka siku zijazo , nchi ikawa sehemu nzuri na salama.
Siyo kama wanavyobumunda kwa sasa hali imekuwa mbaya sana sema hamjui tu ninyi wafia matumbo.