Kila Kona ipi hiyo? Kwa taarifa Yako tuu wanaopigwa spana Huwa ni watu werevu sana na hufanikiwa mnoo na matokeo yake mtaona baadae akitoka Madarakani.
Cha muhimu ni Kwamba System ikikubari hakuna shida nyie wengine ni kelele Cha chura hazijawahi mzuia tembo kunywa maji.
Huyo ni Rais Hadi 2030 ana mission nyingi za muhimu kufanya Kwa Ajili ya Taifa hili.
Mwisho wewe ndio unashangaa ila Kina
Pascal Mayalla waliandika Makalla mwanzoni kabisa mwa Utawala wa Samia kwamba kitakachomletea Changamoto Samia ni
-Uzanzibar wake na ndivyo inafanyika
-Uanamke wake na ndivyo inafanyika
-Dini yake na ndivyo inafanyika Kwa sehemu.
Mengine ni visingizio tuu ila Kwa kuwa Samia analijua hili mapema ndio maana unamuona hayumbishwi Wala hafanyi mambo Kwa mihemko Wala kufurahisha magenge ya wajinga na wafitini.
Kwangu Mimi Samia ndio Rais Bora kuwahi tokea Tanzania Kwa vigezo vyovyote hakuna wa kumfikia.