mbarika
JF-Expert Member
- Apr 1, 2015
- 6,290
- 8,600
Mapunguani yale tunayajua dawa yao inachemkaKuna wenzenu walitamani akae madarakani milele.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mapunguani yale tunayajua dawa yao inachemkaKuna wenzenu walitamani akae madarakani milele.
acha uongo mbona tulikuwa uchumi wa Kati?,kosa la MAGU ni kupambana na waharifu kama wewe mnaonufaika na udhaifu wa utawala.Ni bora alikufa tu la sivyo tungekuwa kama Yemen au Zimbabwe kiuchumi
Wezi mama kawarudishia hela za wizi. Halafu wewe zuzu unashangiliaKila kona anapigwa spana. Sijui hakujiandaa kuwa Rais alishtukia amekuwa Rais hivyo hakujua anachofanya ofisini kabisa. Yeye kila aliyekuwa anaonesha ana mawazo positive ya kumzidi yeye basi alikuwa ni adui na anawindwa ama kuuawa ama kufilisiwa ndo mana akina Lowasaa wakaona warudishe majeshi tu CCM kuogopa kufanywa lolote.
Juzi Tundu Lissu kaenda kumuona nurse aliyetimuliwa kisa kuokoa uhai wa Lissu wakati haikuwa lengu Lissu aishi.
Jana Makonda alikuwa na mkutano Arusha wafanyabiashara wakadai walinyanganywa pesa hivyo wanamshukuru mama kuwarudishia pesa zao.
Yaani sijui hii nchi ilipatwa na nini aise. Tuliufyata wote mana yule bwana kuua nchi nzima abaki peke yake halikuwa issue kwake.
Kila kona anapigwa spana. Sijui hakujiandaa kuwa Rais alishtukia amekuwa Rais hivyo hakujua anachofanya ofisini kabisa. Yeye kila aliyekuwa anaonesha ana mawazo positive ya kumzidi yeye basi alikuwa ni adui na anawindwa ama kuuawa ama kufilisiwa ndo mana akina Lowasaa wakaona warudishe majeshi tu CCM kuogopa kufanywa lolote.

Ushahidi mnao,usijekuta hayo mambo ya killings yalikuwa yanafanywa kijasusi na genge la Msoga ili Magufuli aonekane ni katili,na ukumbuke kuwa JK bado alikuwa na sasa bado ana nguvu kwenye system ya nchi.1. These are petty issues in comparison with the value of human life and rights!
2. Stop that nonsense
Kikwete.Mtizamo hasi. Hiyo ndege unayopanda ni maono ya nani? Hiyo Train unayojisifia nayo ni maono ya nani? Nani kaleta mfumo wa Control number kama wewe ni mlipa kodi? Well Tundu lisu hata kwenye chama chake hawamtaki, he can't even prove the state was involved. just dirty politics and sympathy seeker, Vijana wa Chadema na maono yetu. Well he has been around since he came back amekifanyia nini chama chenu? Total derailment they have nothing to offer mara wanaanza kulaumiana kuna hela chafu in the party, sasa hivi karukia agenda ya gari iliyopigwa risasi, je ni ajenda ya kitaifa? Let see kama atakuwa anatembea nalo kwenye kampeni as mtaji wa siasa. Well let see Uzanzibar na Utanganyika kama utawatoa.
Kwanza mimi siamini kama JPM alikuwa anajua watu,ni kundi la Msoga kupitia watu wao kwenye system ndiyo walikuwa wanafanya ule unyama ili kuchafua serikali.Haya ni mambo kijasusi sana ambayo ukifikiri kiushabiki huwezi elewa.Kajipime kwanza , hakuna Raisi aliyekuwa mwema kama mwendazake na hatapata kutokea daima ktk nchi yetu , watu waliishi kwa kuheshimiana na kujaliana, leo hii yako wapi , sema wewe ni mwizi na mtu asiyependa haki na usawa , kuna sehemu ulishikwa , hivi kuna ndugu yako alipotea au kuuwawa kipindi chake ?
Usikae sehemu kuwajaza watu upumbavu uliokujaa kichwani mwako , kumpata mtu sahihi tena kama mwedazake ni ngumu sana , kazi aliiweza na hatakuja kutokea mwingine kama yeye labda hao kina MAKONDA ,na MAJALIWA huwenda mmoja aao akikamata madaraka siku zijazo , nchi ikawa sehemu nzuri na salama.
Siyo kama wanavyobumunda kwa sasa hali imekuwa mbaya sana sema hamjui tu ninyi wafia matumbo.
Msikilize Mwenyekiti wako
Kila kona anapigwa spana. Sijui hakujiandaa kuwa Rais alishtukia amekuwa Rais hivyo hakujua anachofanya ofisini kabisa. Yeye kila aliyekuwa anaonesha ana mawazo positive ya kumzidi yeye basi alikuwa ni adui na anawindwa ama kuuawa ama kufilisiwa ndo mana akina Lowasaa wakaona warudishe majeshi tu CCM kuogopa kufanywa lolote.
Juzi Tundu Lissu kaenda kumuona nurse aliyetimuliwa kisa kuokoa uhai wa Lissu wakati haikuwa lengu Lissu aishi.
Jana Makonda alikuwa na mkutano Arusha wafanyabiashara wakadai walinyanganywa pesa hivyo wanamshukuru mama kuwarudishia pesa zao.
Yaani sijui hii nchi ilipatwa na nini aise. Tuliufyata wote mana yule bwana kuua nchi nzima abaki peke yake halikuwa issue kwake.
Nenda kasome MEMKWA ili ujifunze kuandika. Hakuna 'mhaŕifu', bali kuna 'mhalifu'acha uongo mbona tulikuwa uchumi wa Kati?,kosa la MAGU ni kupambana na waharifu kama wewe mnaonufaika na udhaifu wa utawala.
Acha utoto wa kitoto! kwahiyo Lisu alipopigwa risasi ni msoga ilisema asiombewe, T shirt za picha yake zisivaliwe, Msoga ndiye alimnyima matibabu, alimfukuza ubunge, Msoga ndiye aliwazuia polisi wasichunguze kifo cha Ben Saanane, mawazo, na wengine wengi..... acha utoto wa kijingaUshahidi mnao,usijekuta hayo mambo ya killings yalikuwa yanafanywa kijasusi na genge la Msoga ili Magufuli aonekane ni katili,na ukumbuke kuwa JK bado alikuwa na sasa bado ana nguvu kwenye system ya nchi.
Siasa ni mchezo Mchafu!!
Asante🤝Spana ndio Demokrasia.
Mahakama ndo yenye mamlaka ya kusema huyu ni mwizi au la! Siyo kazi ya rais hiyo. Zile zilikuwa projo na chuki za jpm tuWezi mama kawarudishia hela za wizi. Halafu wewe zuzu unashangilia
Na wewe unayemtetea marehemu miaka 4 sasa alikufanyia nini? Alikuacha na mimba labda?Ni ujinga wa mwandishi mpka leo bado anaumia na marehemu kwa miaka 4 ssa je alikufanya vibaya huko nyuma unavuja na kutoa damu
Huna akili tafuta pesa mdgo wangu bila pesa utahis kila mtu amekukosea utahis hata baba yako na mama yako walikosea kukuleaNa wewe unayemtetea marehemu miaka 4 sasa alikufanyia nini? Alikuacha na mimba labda?